Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Habari wakuu,

Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk.

Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo.

1. Aishi Manura.

2. Shomari Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Enoch Enonga.

5. Mohamed Ottara.

6. Jonas mkude. Kinyonge*

7 Nelson Okwa.

8 Victor Akpan.

9. Manzoki hayupo. Moses phili.

10. Clotus Chamaaa

11. Agustin Okrah.

Benchi.

1. Kakolanya.

2.Mwenda.

3. Kennedy.

4 kanute.

5. Sackho

6. Boko.

7. MZUNGU.

1. Madhaifu ya Simba ni kukosa mshambuliaji mzuri kama Manzoki, na yanga ni wagumu Sana kufungika.

2 Kukosa kiungo mzuri wa UKABAJI, kusababisha Inonga kuonana Sana na Mayele.

Mechi hizi hazitabiriki, Simba WANGEKUWA na Manzoki wangeshinda 3-1
 
Habari wakuu.
Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa.
Kichwa kinauma.uanze na nani, nani umuweke wapi nk.

Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo.

1. Aishi Manura.

2. Shomari Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Enoch Enonga.

5. Mohamed Ottara.

6. Jonas mkude. Kinyonge*

7 Nelson Okwa.

8 Victor Akpan.

9. Manzoki hayupo. Moses phili.

10. Clotus Chamaaa

11. Agustin Okrah.

Benchi.

1. Kakolanya.

2.Mwenda.

3. Kennedy.

4 kanute.

5. Sackho

6. Boko.

7. MZUNGU.

1. Madhaifu ya Simba ni kukosa mshambuliaji mzuri kama Manzoki, na yanga ni wagumu Sana kufungika.

2 Kukosa kiungo mzuri wa UKABAJI, kusababisha Inonga kuonana Sana na Mayele.

Mechi hizi hazitabiriki, Simba WANGEKUWA na Manzoki wangeshinda 3-1
Inaelekea wana simba deep down bado hamjiamini kuwa yanga mtamfunga
 
Kwa mujibu wa Kiongozi lialia mwandamizi wa Simba ndugu Kocha, Katibu wa mpito wa Zamani wa FAT (Tff), Mwina Seif Kaduguda : Ni rahisi Simba kumfunga Ahly kuliko Dar Young Afrika.
Kumfunga Yanga ni shughuli pevu.
 
Tumehitimisha kuwa mzungu hafai?
 
Aingie naa manzoki basi tufanye yupo.

Kipigo kipo pale pale
 
XI imekaa hivi

KAKOLANYA

HUSSEN MOHAMED
KAPOMBE
INONGA
QAWATTARA

MKUDE
Akpan

Sakho
Chama
Okra

Phiri

Utopolo hawatachomoka hapa hata iweje.
Kwny kikos c wanahitajika wacheza 6 tu wa njee au ngao hmn hii sheria
 
Na kwann hawasajili mkabaji hawa jamaa wanajaza nafas moja wachezaji kibao wanaacha sehemu muhimu ,mkude kanoute ,ata uyu akpan bado sijaona mmoja wapo atakaefanya vzur ktk kukaba na kupokonya mipira ,wazito na wacheza rafu sana ambazo mara nyng za filimbi ama kadi ili eneo na la mbele litawagharimu tena msimu huu
 
Back
Top Bottom