Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 413
- 289
Kwa miaka mingi sasa tumeacha wanasiasa wakijadili mitazamo mbalimbali ya mustakabali wa elimu yetu hasa wakiangalia output ilioko mtaani bila ajira. Haya ni maoni yangu ya nini kifanyike.
Mosi - Kwa wanaohisi mtaala wetu una mapungufu mengi sikubaliani nao changamoto kubwa katika elimu yetu tumewekeza nguvu nyingi kwenye nadharia kwa ngazi zote za elimu, mtazamo wangu napendekeza field zote zifanyike kwa mwaka mzima badala ya kinachofanyika sasa ni usanii tupu kwa mantiki hiyo graduate wa elimu afanye kwa vitendo Akiwa shuleni mwaka mzimar hivyo kwa graduate wa engineering aende field mwaka au hata miaka miwili na wahitimu wa beta ifanyike the same thing.
Pili - Tuondoe short course na kama zitatolewa kuwe na sababu ya msingi hasa kwa ajili ya kuboresha taaluma na ufanisi ndani ya idara
Tatu - Kuwe na utaratibu wa kuwakopesha mitaji wahitimu kutokana na project proposal watakazoainisha ili waweze kujiajiri.
Mwisho vyombo vya maamuzi vinvyotokana na uwakilishi wa wananchi yaan baraza la madiwani na bunge kuwe na sifa za kitaaluma tofauti na ilivyo sasa yani mtoto wa la kwanza anaejuwa kusoma na kuandika kijacho mnyima haki ya kugombea nafasi za kisasi ni umri.