Kwa hiyo unaitetea CCM?Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu yanayoendelea nchini, hususan kuhusu sakata la utekaji na usalama wa taifa.
Gwajima kwa asili ni mpinzani mwenye akili. Marehemu Magufuli hakukosea kumkaribisha ndani ya CCM. Tatizo ni kwamba huenda chama kimeshindwa kumtumia ipasavyo. Watu wa aina ya Gwajima si wale wa kusema “ndiyo mzee” kila mara — wao huona mapengo kwenye mfumo hata kama wengine wanapiga makofi.
Kwenye mitaa ya Uswahilini, watu kama Gwajima tunawaita “friji haligandishi” wakisikia jambo, wanasema. Hawaogopi kusema ukweli hata kama unamuumiza nani. Wana msimamo, na mara nyingi wana mvuto wa kisiasa kwa wananchi wa kawaida.
Baada ya hiyo press, naamini Gwajima anajua kuwa nafasi yake ya kugombea tena ubunge kupitia CCM imeyumba. Ila hiyo haimaanishi kisiasa amepotea. Kinyume chake — ile press ilikuwa ni mkakati wa kujipanga upya kwa siasa nje ya CCM.
Gwajima ana njaa ya nafasi kubwa zaidi kisiasa. Ni mtu mwenye maono ya juu anajiona kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Ingawa si rahisi kusema kama ataweza kufika huko, kitu kimoja kiko wazi: Gwajima si mwoga.
CCM wakifanya kosa la kumshughulikia sasa, wakimvua uanachama au kumtishia, wakae wakijua kuwa Gwajima akihamia upinzani — hasa Chadema — mambo yatabadilika.
Chadema wakimpokea na kumruhusu kugombea urais, naamini watajiongezea nafasi kubwa ya kuvuta hisia za wananchi. Gwajima ni msemaji mzuri, ana hoja, na ana uwezo wa kuwasiliana vyema na wananchi kuliko baadhi ya wanasiasa wa upinzani.
Ndiyo, Samia ana nguvu ya chama tawala na huenda akashinda urais, lakini kampeni zitakuwa ngumu. Gwajima anaweza kumpoteza Rais jukwaani kwa hoja na kelele za kisiasa. Lakini kubwa zaidi, anaweza kufanya wabunge wengi wa CCM kupoteza majimbo yao.
Kwa sasa, ushauri wangu kwa CCM ni wamuache kwanza, waache uchaguzi upite. Kujaribu kumzima sasa ni sawa na kumimina petroli kwenye moto unaowaka taratibu.
Mwaka huu wa uchaguzi ni mwaka wa miujiza. Tutarajie mengi. Tukae mkao wa kula muda ndio utakaotoa majibu.
CHAUMA tena sidhani.Siasa za Tanzania ni very very predictable.
Nakuhakikishia Gwajiboy ni mmoja wao na ataendelea kuwa mmoja wao, hapa anaandaliwa kiki ya kufukuzwa uanachama ili akagombee CHAUMMA.
Team yake ilianza hizi propaganda mapema, watu tuliozaliwa na IQ za mbali tulijua kitambo watu wako jikoni.
Chadema warudi mchezoni then wamchague Gwajima agombeeJana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu yanayoendelea nchini, hususan kuhusu sakata la utekaji na usalama wa taifa.
Gwajima kwa asili ni mpinzani mwenye akili. Marehemu Magufuli hakukosea kumkaribisha ndani ya CCM. Tatizo ni kwamba huenda chama kimeshindwa kumtumia ipasavyo. Watu wa aina ya Gwajima si wale wa kusema “ndiyo mzee” kila mara — wao huona mapengo kwenye mfumo hata kama wengine wanapiga makofi.
Kwenye mitaa ya Uswahilini, watu kama Gwajima tunawaita “friji haligandishi” wakisikia jambo, wanasema. Hawaogopi kusema ukweli hata kama unamuumiza nani. Wana msimamo, na mara nyingi wana mvuto wa kisiasa kwa wananchi wa kawaida.
Baada ya hiyo press, naamini Gwajima anajua kuwa nafasi yake ya kugombea tena ubunge kupitia CCM imeyumba. Ila hiyo haimaanishi kisiasa amepotea. Kinyume chake — ile press ilikuwa ni mkakati wa kujipanga upya kwa siasa nje ya CCM.
Gwajima ana njaa ya nafasi kubwa zaidi kisiasa. Ni mtu mwenye maono ya juu anajiona kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Ingawa si rahisi kusema kama ataweza kufika huko, kitu kimoja kiko wazi: Gwajima si mwoga.
CCM wakifanya kosa la kumshughulikia sasa, wakimvua uanachama au kumtishia, wakae wakijua kuwa Gwajima akihamia upinzani — hasa Chadema — mambo yatabadilika.
Chadema wakimpokea na kumruhusu kugombea urais, naamini watajiongezea nafasi kubwa ya kuvuta hisia za wananchi. Gwajima ni msemaji mzuri, ana hoja, na ana uwezo wa kuwasiliana vyema na wananchi kuliko baadhi ya wanasiasa wa upinzani.
Ndiyo, Samia ana nguvu ya chama tawala na huenda akashinda urais, lakini kampeni zitakuwa ngumu. Gwajima anaweza kumpoteza Rais jukwaani kwa hoja na kelele za kisiasa. Lakini kubwa zaidi, anaweza kufanya wabunge wengi wa CCM kupoteza majimbo yao.
Kwa sasa, ushauri wangu kwa CCM ni wamuache kwanza, waache uchaguzi upite. Kujaribu kumzima sasa ni sawa na kumimina petroli kwenye moto unaowaka taratibu.
Mwaka huu wa uchaguzi ni mwaka wa miujiza. Tutarajie mengi. Tukae mkao wa kula muda ndio utakaotoa majibu.
Umerogwa weweChadema warudi mchezoni then wamchague Gwajima agombee
Alishasema kitambo nafasi za kisiasa zote ni ndogo sana kwa nafasi aliyonayoGwajima ana njaa ya nafasi kubwa zaidi kisiasa. Ni mtu mwenye maono ya juu anajiona kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Ingawa si rahisi kusema kama ataweza kufika huko, kitu kimoja kiko wazi: Gwajima si mwoga.
Hebu kuwa serious chief! Kweli gwajima awe rais wa JMT? Mtu muongo kama nini!!! Alidanganya vijana wa Kawe kama mazuzu kuwa atawapeleka Japan na atawaletea meli za uvuvi, akwaambia pia atawaletea greda la kukwangua barabara zote jimbo la Kawe. Huyu ni muongo promax.Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu yanayoendelea nchini, hususan kuhusu sakata la utekaji na usalama wa taifa.
Gwajima kwa asili ni mpinzani mwenye akili. Marehemu Magufuli hakukosea kumkaribisha ndani ya CCM. Tatizo ni kwamba huenda chama kimeshindwa kumtumia ipasavyo. Watu wa aina ya Gwajima si wale wa kusema “ndiyo mzee” kila mara — wao huona mapengo kwenye mfumo hata kama wengine wanapiga makofi.
Kwenye mitaa ya Uswahilini, watu kama Gwajima tunawaita “friji haligandishi” wakisikia jambo, wanasema. Hawaogopi kusema ukweli hata kama unamuumiza nani. Wana msimamo, na mara nyingi wana mvuto wa kisiasa kwa wananchi wa kawaida.
Baada ya hiyo press, naamini Gwajima anajua kuwa nafasi yake ya kugombea tena ubunge kupitia CCM imeyumba. Ila hiyo haimaanishi kisiasa amepotea. Kinyume chake — ile press ilikuwa ni mkakati wa kujipanga upya kwa siasa nje ya CCM.
Gwajima ana njaa ya nafasi kubwa zaidi kisiasa. Ni mtu mwenye maono ya juu anajiona kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Ingawa si rahisi kusema kama ataweza kufika huko, kitu kimoja kiko wazi: Gwajima si mwoga.
CCM wakifanya kosa la kumshughulikia sasa, wakimvua uanachama au kumtishia, wakae wakijua kuwa Gwajima akihamia upinzani — hasa Chadema — mambo yatabadilika.
Chadema wakimpokea na kumruhusu kugombea urais, naamini watajiongezea nafasi kubwa ya kuvuta hisia za wananchi. Gwajima ni msemaji mzuri, ana hoja, na ana uwezo wa kuwasiliana vyema na wananchi kuliko baadhi ya wanasiasa wa upinzani.
Ndiyo, Samia ana nguvu ya chama tawala na huenda akashinda urais, lakini kampeni zitakuwa ngumu. Gwajima anaweza kumpoteza Rais jukwaani kwa hoja na kelele za kisiasa. Lakini kubwa zaidi, anaweza kufanya wabunge wengi wa CCM kupoteza majimbo yao.
Kwa sasa, ushauri wangu kwa CCM ni wamuache kwanza, waache uchaguzi upite. Kujaribu kumzima sasa ni sawa na kumimina petroli kwenye moto unaowaka taratibu.
Mwaka huu wa uchaguzi ni mwaka wa miujiza. Tutarajie mengi. Tukae mkao wa kula muda ndio utakaotoa majibu.
Mkono wa baunsa sioHuyu ndiye Gwajima tunayemjua…
Japan mkafanye nini,wakati huku tuu mnachemka!Hebu kuwa serious chief! Kweli gwajima awe rais wa JMT? Mtu muongo kama nini!!! Alidanganya vijana wa Kawe kama mazuzu kuwa atawapeleka Japan na atawaletea meli za uvuvi, akwaambia pia atawaletea greda la kukwangua barabara zote jimbo la Kawe. Huyu ni muongo promax.