PreGE2025 Mtazamo wangu kuhusu press ya Askofu Gwajima jana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema wanampokeaje wakati hawapo kwenye uchaguzi?.
 
Lissu anatosha. Tanzania haihitaji tena wasanii.

No reform No election.

Gwajima kwa speed ya utekaji kuna kitu kawategeshea watanzania kuwavuruga. Na anajulikana anavurugu japo anachana live.
 
Mimi natamani sana yaani sana, ccm wamjibu ili arudi tena kusema.

Kwa wale wa miaka ya nyuma mnajua tulivyo pata utamu ya Gwajima vs Bashite. Ile move ilikuwa inakolea kila jumapili. Siyo waislam ama wakristo, wote enzi hizo jumapili tuliwahi kiti cha mbele kwa Gwajima kuangalia move. Wamjibu tu jaman......
 
Wajiandae wabunge wa ccm gwajima atawadumbua sana kwenye kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…