smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
asilimia kubwa ya wakenya wanaume hupenda kuvaa bangili za shanga mkononi.
nataka kuwafahamisha hawa jamaa kuwa urembo wowote unaotokana na shanga huku kwetu tz tunauhusisha na masuala ya wanawake.
ukiondoa wanaume toka jamii ya wamasai, ni agharabu sana kwa mwanaume wa kitanzania kuvaa kitu chochote kilichowekewa urembo wa shanga, na akivaa lazima tutilie shaka uanaume wake.
nasikia huwa mnajitetea eti mnavaa bangili za shanga ili kuonyesha identity na uzalendo kwa nchi yenu. huo ni utetezi wa kijinga. hauwezi kuonyesha uzalendo kwa nchi yako kwa kuvaa shanga.
sisi wanaume wa kitanzania hatuvai bangili za shanga. tunapofika nchi za watu ile first impression tu inamwambia mtu kuwa huyu ni mtanzania. kwanza tuna haiba nzuri(hatuna sura za kutisha kama nyinyi), ucheshi, ukarimu na namna tunavyozungumza kiswahili kwa ufasaha.