Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulizivaa kiunoni au mguuni?Aghalabu - Often
Nadra - Rare.
Hizo shanga bongo tumevaa enzi hizo tunaziita culture. Marastafari wakatuambukiza wengine kuzivaa.
Ila kwakua ni utani ngoja nione utakapoishia.
Kama ni mtazamo wako ni sawa, ila nyang'au hapana tambua. Huo ni utamaduni wa makabila karibia tatu robo nchini Kenya, sio wamaasai tu. Utalia sana, nyanga'u wanazivaa hadi ndani ya ikulu ya mzee wa mikwara! Hutaelewa virahisi kwasababu nchi yako haikupi motisha wa kuwa mzalendo damu.![]()
Swag za kikenya to the world, man. With no apologies!
![]()
kavaa binti wa beckham,hajavaa mwanaume.
ulizivaa kiunoni au mguuni?
Mimi nikipata belt kama hio nanunua pia. Iko poa sana
Hao wameletwa kimagendo kwa interests flani ila sio kwa loyalty.
Mkenya hamkaribishi mwenzake mpk aweke appointment ya kuja kwake hyo loyalty mkenya anaitolea wapi??!!!
Kwahivyo kelele zako hizi ni kwasababu mzungu kasema, au? Wao wenyewe, waume kwa wake si wameiga kwetu? Maanake navowajua nyinyi kwa kuwaiga wazungu hamjambo. Nyinyi ndio huwa mnajiita majina kama James Peter na Jane John na kuita lugha zenu za asili 'vilugha'. Wenzenu bado hatupo tayari kupoteza asili na tamaduni zetu.kavaa binti wa beckham,hajavaa mwanaume.
wanapenda sana kuiga, hizi ni dalili za kugawa tigoasilimia kubwa ya wakenya wanaume hupenda kuvaa bangili za shanga mkononi.
nataka kuwafahamisha hawa jamaa kuwa urembo wowote unaotokana na shanga huku kwetu tz tunauhusisha na masuala ya akina wanawake.
ukiondoa wanaume toka jamii ya wamasai, ni agharabu sana kwa mwanaume wa kitanzania kuvaa kitu chochote kilichowekewa urembo wa shanga, na akivaa lazima tutilie shaka uanaume wake.
nasikia huwa mnajitetea eti mnavaa bangili za shanga ili kuonyesha identity na uzalendo kwa nchi yenu. huo ni utetezi wa kijinga. hauwezi kuonyesha uzalendo kwa nchi yako kwa kuvaa shanga.
sisi wanaume wa kitanzania hatuvai bangili za shanga. tunapofika nchi za watu ile first impression tu inamwambia mtu kuwa huyu ni mtanzania. kwanza tuna haiba nzuri(hatuna sura za kutisha kama nyinyi), ucheshi, ukarimu na namna tunavyozungumza kiswahili kwa ufasaha.View attachment 1221788View attachment 1221789View attachment 1221790View attachment 1221791View attachment 1221792View attachment 1221793
knyata mbona anaonekana mwenye hofu sana hahahaKama ni mtazamo wako ni sawa, ila nyang'au hapana tambua. Huo ni utamaduni wa makabila karibia tatu robo nchini Kenya, sio wamaasai tu. Utalia sana, nyanga'u wanazivaa hadi ndani ya ikulu ya mzee wa mikwara! Hutaelewa virahisi kwasababu nchi yako haikupi motisha wa kuwa mzalendo damu.![]()
usikute hata marinda haunaMada kama hizi ndio mojawapo wa sababu huwa tunawadharau sana wanaume wa Kitanzania japo hatuwachukii, yaani mna tabia za kike karibia nyote, mna macho ya umbea umbea, ukiwa na mwanaume wa Kitanzania, atakukagua kagua kimya kimya kila ulichovaa huku akikenua meno na kuongea kistaarabu, ila hapo anawashwa lini mtaachana aende kukusema kwa wenzake jinsi ulivyokua umevaa, mara kofia, mara suruali, mara mkanda......ilhali muda wote huo hakukutajia chochote.
Ndio maana mkija huku hatuwezi kuwakaribisha manyumbani kwetu, kama ni kikao bora kiishie mjini kila mmoja aende zake, maana ukikaribshwa, watoto watakuamkia kwa furaha, utapokelewa kwa heshima na sote tutakua na furaha, ila ukitoka tu, yaani utatangaza hadi rangi ya kikmbe, paka, kila kitu, mpo ovyoo sana, haya muachie mabinti wenu muanze kuwa na tabia za kiume.