Mtazamo wangu kuhusu tabia ya wanaume wa Kenya kupenda kuvaa bangili za shanga

Aghalabu - Often

Nadra - Rare.

Hizo shanga bongo tumevaa enzi hizo tunaziita culture. Marastafari wakatuambukiza wengine kuzivaa.

Ila kwakua ni utani ngoja nione utakapoishia.
 
Aghalabu - Often

Nadra - Rare.

Hizo shanga bongo tumevaa enzi hizo tunaziita culture. Marastafari wakatuambukiza wengine kuzivaa.

Ila kwakua ni utani ngoja nione utakapoishia.
ulizivaa kiunoni au mguuni?
 
wazee wa shanga.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uzalendo kwao ni kuunga mkono kila kitu
 
Haiya... Kadoda11????
Alitoweka nikadhani amenyakuliwa na wasiojulikana ambao hubabaisha Tanzania yote, kumba kabadili ID.
angalia hii account yangu ipo hapa tangu mwaka gani.
 
Danganyikan men are very jealous of Kenyan men. I wonder why
..na ukiona mwanaume ambaye ana wivu na mwanaume mwenzie kuna uwezekano ye' ni shoga.
Cc:Mleta mada (kidonda11 kwa ID nyingine
umechemsha sana kunifanisha na kadida
 
Hao wameletwa kimagendo kwa interests flani ila sio kwa loyalty.
Mkenya hamkaribishi mwenzake mpk aweke appointment ya kuja kwake hyo loyalty mkenya anaitolea wapi??!!!

Halafu mlivyo wambea, wanafiki na wazandiki bora usinikaribishe, maana huwa mna maneno matamu sana mkikaribisha watu kwenu manyumbani, lakini pindi wakitoka mnawasema sema vibaya, yaani mpo ovyoo sana, ila Wazanzibari ndio niliona wapo tofauti, (Pemba na Unguja) wale wanakukaribisha bila kinyongo, ukiondoka wanabaki wakikusifia mazuri, niliwapenda sana, ila nyie wengine mna roho nyeusi sana.
 
kavaa binti wa beckham,hajavaa mwanaume.
Kwahivyo kelele zako hizi ni kwasababu mzungu kasema, au? Wao wenyewe, waume kwa wake si wameiga kwetu? Maanake navowajua nyinyi kwa kuwaiga wazungu hamjambo. Nyinyi ndio huwa mnajiita majina kama James Peter na Jane John na kuita lugha zenu za asili 'vilugha'. Wenzenu bado hatupo tayari kupoteza asili na tamaduni zetu.
 
wanapenda sana kuiga, hizi ni dalili za kugawa tigo
 
knyata mbona anaonekana mwenye hofu sana hahaha
 
usikute hata marinda hauna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…