Mtazamo wangu kuhusu tabia ya wanaume wa Kenya kupenda kuvaa bangili za shanga

Unaongea kwa utashi wako.
Wakenya mna miroho mibaya yani wakenya wenyewe kwa wenyewe hamkaribishani pas na appointment je hiyo loyalty mtaitoa wapi ???
Tanzania hakuna hiyo tabia tuna wakenya na warundi wapo huku Kigamboni tunaishi nao poa na wanasifia ukarim wetu fresh tu.
 
Liquid na hamornize. Najua harmonize liquid simjui. Harmonize is the broke guy who couldn't pay his hotel bill huko eldoret. Ilibidi wakenya wamchangie
redeemer
 
Dah,! Tatizo hawana identity yao wenyewe sababu ya copy and paste kwa wazungu ambapo hawatoweza kuwapita halafu wana manyimbo yao ya kilugha ya hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kila kabila na songi lake la ajabu ajabu
 
Siku hizi Wameanza kukopi nyimbo za bongo fleva hadi kuandikiwa nyimbo pia waandikiwa huku bongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku hizi Wameanza kukopi nyimbo za bongo fleva hadi kuandikiwa nyimbo pia waandikiwa huku bongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lafudhi sasa ndio mgogoro, sababu unaweza kua na mashairi mazuri lakini unaimba kama ng'ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lafudhi sasa ndio mgogoro, sababu unaweza kua na mashairi mazuri lakini unaimba kama ng'ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeangalia trending videos za bongo sijaona za wakenya ila trending videos za wakenya kuna videos kama nane za bongo ziko trending πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeangalia trending videos za bongo sijaona za wakenya ila trending videos za wakenya kuna videos kama nane za bongo ziko trending πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah! Halafu huyu Jane anasema Tanzania sio influential? Acha watanzania YouTubers wale AdSense na wanazila kweli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah! Halafu huyu Jane anasema Tanzania sio influential? Acha watanzania YouTubers wale AdSense na wanazila kweli
Hapo ndio utagundua ni kina nani wanashoboka shoboka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi wala hatuna habari nao.
 
wabongo saa zingine tunakuwaga makenge kweli kweli,,wewe inakuhusu nini mtu kuendeleza tamaduni za kwao??...ulitaka wote muende sawa kwani nyie wote ni wasukuma?achana na habari za wakenya bana,,,kwanza wametuzidi maarifa utake usitake,,sisi ni waswahili wa maneno mengi bila vitendo,kwa akili tumezidiwa bana,,ndo maana waajiri wengi wa nje wanapenda kuajiri mkenya kuliko mtanzania,..
 
Utaambiwa wewe sio mzalendo. Subiri.
 
REDEEMER
go google 10 famous & influential A.countries. Ukipata nchi yako hapo uniitishe chochote
 
Huyu naye vipi? Una ushamba lakini ujue! πŸ˜‚
 
Utaambiwa wewe sio mzalendo. Subiri.
km kweli uzalendo ni kusema ukweli basi wacha tu niitwe sio mzalendo lakini ndio tulivyo wengi wetu,,ila sio wote,,ni waswahili wa maneno mengi bila vitendo
 
View attachment 1223711Huyu naye vipi? Una ushamba lakini ujue! [emoji23]
km kweli uzalendo ni kusema ukweli basi wacha tu niitwe sio mzalendo lakini ndio tulivyo wengi wetu,,ila sio wote,,ni waswahili wa maneno mengi bila vitendo
kwa lugha kiungwana tunasema "asante kwa maoni yenu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…