Unaongea kwa utashi wako.Halafu mlivyo wambea, wanafiki na wazandiki bora usinikaribishe, maana huwa mna maneno matamu sana mkikaribisha watu kwenu manyumbani, lakini pindi wakitoka mnawasema sema vibaya, yaani mpo ovyoo sana, ila Wazanzibari ndio niliona wapo tofauti, (Pemba na Unguja) wale wanakukaribisha bila kinyongo, ukiondoka wanabaki wakikusifia mazuri, niliwapenda sana, ila nyie wengine mna roho nyeusi sana.
Wakenya mna miroho mibaya yani wakenya wenyewe kwa wenyewe hamkaribishani pas na appointment je hiyo loyalty mtaitoa wapi ???
Tanzania hakuna hiyo tabia tuna wakenya na warundi wapo huku Kigamboni tunaishi nao poa na wanasifia ukarim wetu fresh tu.