G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,040
- 2,157
Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU.
Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano ijayo.
1. Watanzania hasa vyama vya upinzani ambao wana hubiri demokrasia mdomoni: ni watu wasioitaka kabisa mioyoni na hawaamini kabisa katika mitazamo tofauti na waliyo nayo wao. Sasa sijui demokrasia ipi wanahitaji
2. Watanzania wengi hawajui na hawaamini thamani yao kabisa, wanahisi kuna watu maalum wanaofaa kuwabebea matatizo yao. Mbaya zaidi wana nguvu ya kulalamika kabisa matatizo yao yakiendelea.
3. Kuna Biasness kubwa sana kulikoni kufuata uhalisia, Wafuasi wa mtu mmoja hawazingatii facts za wazi kabisa za mtu wa pili, kisa zimetolewa na asie wa upande wao. Mpaka unashindwa kwamba watu wanaganya reasoning namna gani!
Nasikitika siasa zetu zina mfumo wa Simba na Yanga