Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Uzi ufungwe sasa.Hata kumjadili hapa ni upuuzi
Kichwa chake na cha Lucas Mwashambwa vilichongwa pale Nduvini.Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso
Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole.
Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau
Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana .
Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana enzi zetu za Tahilso hatukuwa na hizi hekaheka.
Anafahamu majukumu yake na amemaliza Matatizo yote ya wanafunzi wa vyuo vikuuu
Nisadieni kuelewa ndugu zangu Lucas Mwashambwa cc jitokezee hapa
Hana Chama huyo dogo ni mwanaharakati tu ambae kesho kesho kutwa akizinguana na CCM wanamuagiiza Mwafwele akamtatue MalindaYeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana .
Na sio mwanachama wa Chama chochote alikua CDM akatoka akaelekea CCM akatoka sasa hivi hana Chama yupo yupo tuHuyo chawa wanasema alidisco kwahiyo sio mwanachuo wa chuo chochote Tanganyika.
Chuo gani wanasema ukimaliza watakupa ajira?Kaambiwa akimaliza chuo atapata ajira so ndo anajipambania mwenzako so muelewe tu
AngejuaHana Chama huyo dogo ni mwanaharakati tu ambae kesho kesho kutwa akizinguana na CCM wanamuagiiza Mwafwele akamtatue Malinda
Hallo kumbee ndio amebaki kuwa domo zegeeHuyo chawa wanasema alidisco kwahiyo sio mwanachuo wa chuo chochote Tanganyika.
Kwani ni mwanafunzi wa chuo gani?Huyu mtoto wa 2,000 sjui anasoma saa ngapi
Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso
Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole.
Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau
Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana .
Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana enzi zetu za Tahilso hatukuwa na hizi hekaheka.
Anafahamu majukumu yake na amemaliza Matatizo yote ya wanafunzi wa vyuo vikuuu
Nisadieni kuelewa ndugu zangu Lucas Mwashambwa cc jitokezee hapa
Huyo Nkinda ni afisa kipenyo namfahamu sasa yeye anajua hilo kweliAnataka aonekane maana anatafuta uteuzi kwa udi na uvumba mwenzake Nkinda ni Mkuu wa wilaya kahama yeye pia anatafuta uteuzi ..
Wanafata nyao zake... Ila kwa hatua kubwa kubwa wanaruka ngaziHuyo Nkinda ni afisa kipenyo namfahamu sasa yeye anajua hilo kweli