Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso

Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole.

Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau

Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana .

Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana enzi zetu za Tahilso hatukuwa na hizi hekaheka.

Anafahamu majukumu yake na amemaliza Matatizo yote ya wanafunzi wa vyuo vikuuu

Nisadieni kuelewa ndugu zangu Lucas Mwashambwa cc jitokezee hapa
Kwanza kwa kuanzia huyo inavyosemekana ni mwanafunzi wa dit finalist . Sasa mm enyw sielewi kbs anazunguka kweny media kubisha na kujibu watu kama polepole.
Lakin pia wapo wanao sema huyo ali disco na amepitishwa tu kimpango.

Huyo ni chawa wa ccm tu hamna jukumu lolote analofanya .
 
Kawazidi hoja halafu mnaanza kuja kulialia huku.
Ushawai kuwa sehemu ambapo hutakiwi kuwepo mfano una kwenye shughuli ya watu usiowajua,hawakujui ,huna mwaliko.
Ndio kama huyu kijana kichwa kama.upinde wa wahandaze huko Karatu na wewe
Yeye anamjibu Polepole.kama nani au wewe unamjibu kama nani ndani ya serikali na ccm
 
Hao ndo polepole alsema wataona cha mtemakuni......uchawa ni tatizo sana currently!!!!
 
Ndio maana tunasema nchi inahitaji reforms, vyeo vya kupeana shukran kisa uchawa vife.. hawa chawa wote hutawasikia, kila mtu atawajibika kufanya kazi.
 
Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso

Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole.

Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau

Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana .

Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana enzi zetu za Tahilso hatukuwa na hizi hekaheka.

Anafahamu majukumu yake na amemaliza Matatizo yote ya wanafunzi wa vyuo vikuuu

Nisadieni kuelewa ndugu zangu Lucas Mwashambwa cc jitokezee hapa
ni wazi uko nyuma ya wakat mno gentleman, changanya miguu ya kifikra bila kubabaishwa na maoni ya wengine dhidi ya jambo fulani 🐒
 
Back
Top Bottom