Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

Kwanza kwa kuanzia huyo inavyosemekana ni mwanafunzi wa dit finalist . Sasa mm enyw sielewi kbs anazunguka kweny media kubisha na kujibu watu kama polepole.
Lakin pia wapo wanao sema huyo ali disco na amepitishwa tu kimpango.

Huyo ni chawa wa ccm tu hamna jukumu lolote analofanya .
 
Kawazidi hoja halafu mnaanza kuja kulialia huku.
Ushawai kuwa sehemu ambapo hutakiwi kuwepo mfano una kwenye shughuli ya watu usiowajua,hawakujui ,huna mwaliko.
Ndio kama huyu kijana kichwa kama.upinde wa wahandaze huko Karatu na wewe
Yeye anamjibu Polepole.kama nani au wewe unamjibu kama nani ndani ya serikali na ccm
 
Hao ndo polepole alsema wataona cha mtemakuni......uchawa ni tatizo sana currently!!!!
 
Ndio maana tunasema nchi inahitaji reforms, vyeo vya kupeana shukran kisa uchawa vife.. hawa chawa wote hutawasikia, kila mtu atawajibika kufanya kazi.
 
ni wazi uko nyuma ya wakat mno gentleman, changanya miguu ya kifikra bila kubabaishwa na maoni ya wengine dhidi ya jambo fulani 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…