Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

Emmanuel Mkwama

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
166
Reaction score
124
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.

Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi Irani atapigwa kupitia Ukraine na Irani itaendelea kupigwa kwa mgongo wa NATO kwa nia ya kumlinda mwanachama wao ambae ni islael.

Ukraine apapewa full supporting kutoka NATO Ili kuendeleza mashambulizi mazito ndani ya Russia ikibidi atapewa special navy wa kuongeza nguvu zaidi.

Duh..... Hii Ngoma imekaa kimkakati zaidi.... Hahahah Bado Kuna Mzee kiduku anasubiliwa.
 
Na unafanya uchambuzi ukiwa zako pangani umetulia kimya huna habari, ukitoka hapo unatafuta chai na chapati, unashiba unaweka tena bando unalala kitandani unaanza uchambuzi wa vita,
Hahahah...
 
Mada za wanaume mchambuzi mvulana..ao nato wako ukraine kitambo na bado wana chezea kichapo russia ni dude kubwa ambalo shoga mkuu US ana likimbia kila linapo tua
 
Huu mgogoro Iran asipokuwa makini atadondoka vibaya , Iran hana namna ya kumshinda Israel kwa vyovyote vile, Israel anajua kitendo cha kuwa dhaifu mbele ya Iran kitahatarisha usalama wa Israel, unawezaje kushinda nchi yenye silaha za nyuklia kwa njia ya vita? Israel ni USA ambaye yuko middle East, je atakubali Iran atamalaki middle East? Pia nchi za kiarabu kama Says Arabia, Jordani, Oman, Quatar hata Egypt zinajua Iran akiwa na nguvu pale middle East itahatarisha maslahi yao na usalama wa nchi hizo, mapinduzi ya utawala wa nchi hizo. So Iran wanachokitafuta watakiona, myahudi siyo waoga, maisha yao ni vita tofauti na nchi za Ulaya au USA ambaye hajui madhara ya vita nchini kwao, wamezoea kutuma majeshi nchi za mbali sana lakini nchi zao huwa haziguswi na vita.
 
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.

Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi Irani atapigwa kupitia Ukraine na Irani itaendelea kupigwa kwa mgongo wa NATO kwa nia ya kumlinda mwanachama wao ambae ni islael.

Ukraine apapewa full supporting kutoka NATO Ili kuendeleza mashambulizi mazito ndani ya Russia ikibidi atapewa special navy wa kuongeza nguvu zaidi.

Duh..... Hii Ngoma imekaa kimkakati zaidi.... Hahahah Bado Kuna Mzee kiduku anasubiliwa.
Bongolala Likiwazake Ikwiriri tayari Lilisha Jua Kuliko Mrusi
 
Hongera kwa kutumia muda wako kuleta bandiko jamvini.Muda ujao jitahidi kuboresha uandishi wako na kusanya taarifa za kutosha.Wasalimie sana Pangani.
 
Ukweli mtupu, ila ngoja tuone.
 
Hongera kwa kutumia muda wako kuleta bandiko jamvini.Muda ujao jitahidi kuboresha uandishi wako na kusanya taarifa za kutosha.Wasalimie sana Pangani.
Shukrani mkuu kwa kunikosoa,ubarikiwe. Napokea chngamoto
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.

Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi Irani atapigwa kupitia Ukraine na Irani itaendelea kupigwa kwa mgongo wa NATO kwa nia ya kumlinda mwanachama wao ambae ni islael.

Ukraine apapewa full supporting kutoka NATO Ili kuendeleza mashambulizi mazito ndani ya Russia ikibidi atapewa special navy wa kuongeza nguvu zaidi.

Duh..... Hii Ngoma imekaa kimkakati zaidi.... Hahahah Bado Kuna Mzee kiduku anasubiliwa.
I see!
Ibara ya 18 ya katiba inakulinda ndugu yangu.

Una haki ya kutoa maoni na kueleza fikra zako.
 
Back
Top Bottom