Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nimekuja mbio kweliWadada wembamba wakienda kulala kitandani
Alafu wakajifunika mashuka mwili mzima
kwa mbali wanaonekana kama matuta....
Tumelia shida wapi! Tena sie vimbaumbau huwa atubembelezi mwanaume ukijiona keki sie twajiona madini..kweliii? Mbn mnajililia sana shidaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Shida nanilii zao za baridii kama kiporo cha ugali.[emoji125][emoji125][emoji125]