Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa na zile sheria za mwendo kasi kikamilifu, kiasi cha kuanza kuathiri hata wachangiaji pendwa na walijiona wako salamaa chini ya ulinzi wa taarifa na ulinzi wa wanajukwaa.
Ni mawazo na mitazamo tu, ninaweza nisiwe sahihi.
Ni mawazo na mitazamo tu, ninaweza nisiwe sahihi.