Mtazamo wangu mechi ya Liverpool vs Arsenal

Kipigo cha jibwa koko . Kwa KiTrump wanasema * Stray dog beating *
 
Game imeisha 3 kwa 1 ukweli mpira ulikuwa mzuri japo makosa ya game kayafanya kocha kumwacha lacazette nje na kumtumia Abu kama mmaliziaji asijue kuwa kakosea.

Yote kwa yote kikosi cha sasa ni bora kuliko kilichopita.

We are the gunners forever.
ungeongea nini kama si haya? salah naona kawaonyesha kwann Chelsea hawakubabaika kumuacha Luiz,, Arsenal ni maneno tuu ila timu ya ushindani hakuna pale,, ukitaka kuamin subir na jumapili spurs wamalize kazi...
 
Waweza sema hivyo lakn ninajua arsenal ya sasa ni bora kuliko ya Jana.
Timu inaimalika na makosa yetu yatakuwa chachu ya kufanikiwa zaidi.

We are the gunners forever.
 
Ni aje boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…