Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ngapi huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uzi kakimbiaAnfield ni jehanum
Teh ..Salah hapiti alichemka afcon subiri uone.
ungeongea nini kama si haya? salah naona kawaonyesha kwann Chelsea hawakubabaika kumuacha Luiz,, Arsenal ni maneno tuu ila timu ya ushindani hakuna pale,, ukitaka kuamin subir na jumapili spurs wamalize kazi...Game imeisha 3 kwa 1 ukweli mpira ulikuwa mzuri japo makosa ya game kayafanya kocha kumwacha lacazette nje na kumtumia Abu kama mmaliziaji asijue kuwa kakosea.
Yote kwa yote kikosi cha sasa ni bora kuliko kilichopita.
We are the gunners forever.
Waweza sema hivyo lakn ninajua arsenal ya sasa ni bora kuliko ya Jana.ungeongea nini kama si haya? salah naona kawaonyesha kwann Chelsea hawakubabaika kumuacha Luiz,, Arsenal ni maneno tuu ila timu ya ushindani hakuna pale,, ukitaka kuamin subir na jumapili spurs wamalize kazi...
MTAZAMO WANGU NA MAONI KUHUSU MECHI YETU IJAYO[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
JUMAMOSI HII SAA MOJA NA NUSU USIKU VIJANA WETU WATAKUWA PALE ANFIELD KATIKA HARAKATI ZA KUSAKA POINT TATU MUHIMU DHIDI YA MOJA KATI YA KLABU BORA ZAIDI YA SOKA DUNIANI KWA SASA[emoji460][emoji460][emoji460]NDIO NI KLABU BORA HILO HALINA UBISHI[emoji460][emoji460]NAAMINI NDIO TIMU AMBAYO STRIKER WAKE WAMEFUNGA MAGOLI MENGI ZAIDI LAST SEASON KULIKO WOTE EPL""""NDIO KLABU BINGWA ULAYA PIA PALE ANFIELD SIO UWANJA SALAMA KABISA KWA WAPINZANI[emoji460]WOTE TUNAKUMBUKA MESSI NA BARCELONA YAKE WALIINGIA PALE WAKALA 4 KWA SINIA
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]LAKINI HAYO YOTE HAYATUZUII SISI THE GUNNERS KWENDA KUCHUKUA POINT TATU MUHIMU PALEPALE ANFIELD ENDAPO TU TUTAENDA PALE NA MIPANGO MADHUBUTI YA KUTIMIZA LENGO LETU HILO KWA KUWA HATA IKITOKEA TUTAWAFUNGA HIYO HAITOKUWA MARA YA KWANZA[emoji460][emoji460]
NAJUA BAADHI YETU MTAKUMBUKA MAY 8 2005 TULIMPASUA LIVERPOOL 3-1 MKUMBUKE HII NI ILE LIVERPOOL ILIYOKWENDA KUMPIGA AC MILAN PALE UTURUKI NA KUCHUKUA UEFA[emoji460][emoji460][emoji460]WAO NA SISI MPAKA SASA NDIO TIMU PEKEE AMBAZO ZIMESHINDA 100%YA MECHI ZAKE PALE EPL[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
NAJUA WENGI WANAIPA NAFASI KUBWA LIVERPOOL YA KUIBUKA LAKINI KAMA YAKIFANYIKA HAYA HAPA TUNAWEZA KUWAFUNGA WALE[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
(1)KUANZISHA WINGA WAWILI WENYE KASI
(2)VIUNGO WAWILI WAKABAJI
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
WINGA WAWILI WENYE KASI HAPO NAMAANISHA PEPE NA AUBA SIKU HIYO WAANZIE KWENYE FRANKS[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]HII MAANA YAKE TUTAPUNGUZA KASI YA WALE MABEKI WAO WAWILI WA PEMBENI ALEXANDER ANOLD NA ROBERTSON[emoji460][emoji460]WENGI TUNAAMINI KWAMBA LIVERPOOL WANAWATEGEMEA SANA WALE WATU WAO WATATU WA MBELE MANE FIRMINHO NA SALAH KATIKA KUSAKA MATOKEO LAKINI UKIANGALIA KIUFUNDI HAWA MABEKI WAO NDIO CHANZO CHAO CHA MAGOLI YAO KARIBIA YOTE NA NDIO MAANA YULE ANOLD ANAJIKUTA NA ASSIST NYINGI SANA ZA MAGOLI KUSHINDA BAADHI YA VIUNGO[emoji460][emoji460]HIVYO KUWAWEKEA PEPE NA AUBA KULE PEMBENI KWA KIASI KIKUBWA ITAWAJENGEA HOFU YA KUPANDA MARA KWA MARA NA HIVYO KUPUNGUZA PRESHA GOLINI KWETU[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
(3)KUANZA NA VIUNGO WAWILI WAKABAJI HII MAANA YAKE ITATUPELEKEA TUANZE NA STRIKER MMOJA ILA KWA KUWA TUTAKUWA NA MAWINGA WENYE KASI HAIWEZI KULETA SHIDA[emoji460][emoji460]
IFAHAMIKE KWAMBA CHANZO KINGINE CHA MAGOLI YA LIVERPOOL UKITOA MABEKI WAO WA PEMBENI WANATEGEMEA PIA BREAK THROUGH YAANI WANAKUNYANGANYA MPIRA KISHA WANAANZA KUKUSHAMBULIA KWA KASI HAPO UKUTE NYIE NDIO MLIKUWA MNASHAMBULIA HIVYO BAADHI YA WATU WANAKUWA HAWAPO HUKU NYUMA WAMESHAENDA MBELE HIVYO WAKIKUPATA HAPA LIVERPOOL NI LAZIMA WAKUNYOOSHE UKIZINGATIA WALE CENTRAL DEFENDERS WETU HAKUNA MWENYE KASI KUZIDI WALE MABWANA WATATU"""""HIVYO VIUNGO WAWILI WA KUKABA INAKUWA NI RAHISI KUKABILIANA NA HIZI BREAK THROUGH ZAO[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
NAAMINI TIMU IKIANZA HIVI TUTAWAPA SHIDA SANA WALE MABWANA
LENO
NILES
MONREAL
SOKRATIS
LUIZ
TOREIRA
PEPE
XHAKA
CEBALLOS
LACAZZETE
AUBAMEYANG
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
IKIWA LINE UP TOFAUTI NA HIYO BASI TUMUACHIE UNAI TU MAANA NDIO MUAMUZI WA MWISHO
Come on GunnersView attachment 1187763