Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hello soka lovers JF
  1. Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls
  2. Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi kuona hatari na mipira ya hatari
  3. Attacking- Hapa uharaka kwenda eneo la adui, ghasia kwa mabeki, maelewano na mikimbio yao, uwepo wa mashambulizi ya mara kwa mara, ufikaji wa eneo na uwepo wa eneo la mwisho la mpinzani
  4. Buildup- Mashambulizi yanaanzia wapi kipa, mabeki wa pembeni, mabeki wa kati, viungo, na kwa lengo gani (kaunta and confusion)
  5. Set pieces (fouls &Corners) Kuziepuka, kusababisha, ukabaji, uzuiaji, kipa kujipanga, macho, kupanga mabeki, kumfahamu mpigaji, matumizi yake na mafanikio yake, mnapata ngapi na mnapata nini?
  6. Transitions (Difence area-Midfield area-attacking(final third): kuhama kutoka eneo moja la uwanja hadi jingine Uharaka wa pass na miondoko, upekee, umoja, makundi, kutawanyika, ushiriki kutembeza mpira au kugawa pass, macho ya haraka na kutoa pasi, nani aende nani abaki, ubaki kwa nini, uende kwa nini, adui wamekaaje, uelekeo wa mpira pass fupi, ndefu, speed- je kukimbia zaidi, katikati au kutokea pembeni
  7. Winning spirit/energy & collective play (team work): Hamasa za ushindi na upamoja kwa kila kitu miongoni mwa wachezaji
  8. Mental strength (overconfidence vs.respect to opponents: Uimara kiakili na hasa kujiamini kupita kiasi and kuheshimu wapinzani au kuwadharau na nini kinatokea kutokana na hayo kwa kila timu au mchezaji au wachezaji
  9. Convetion rate on chances created: Utumiaji wa nafasi za kufunga isiwe nafasi tu bali je magoli yamepatikana? Mmepata nafasi ngapi na ngapi zimeleta magoli?
  10. Shots created-( off target and on target): Mashuti yaliopigwa- yaliolenga goli na yasiyolenga goli
  11. Passing accuracy and precision of passing intention: Usahihi na wa pass na usahihi wa malengo ya mpasiaji
  12. Strikers’ Movement and harassment: Namna washambuliaji wanavyotembea/kukimbia meaeneo yao kurahisisha upasiaji na upokeaji wa pasi, space positioning vs chances created, usumbufu wao kwa mabeki
  13. Referee fairness and game handling: Refa kufuata kanuni na sharia kutopendelea kuamua goli, faulo, offsides, kupeta etc na udhibiti wake wa mchezo
  14. Incorrect /correct off-side and fouls calls : Uwamuzi sahihi ama usio sahihi wa offside, faulo, utoaji wa kadi, penati, mpira wa kurushwa etc.
  15. Transitions on game plans: Uhamaji katika mipango ya mechi – tunashambulia vipi, tunakaba vipi, tunazauia vipi majukumu ya kila mmoja ya binafsi na ya pamoja, wakati gani, mahali gani, ikiwa kuna nini
  16. Game tempo: Uspeed au uslow wa game purukushani za wachezaji, mizozo, magomvi, uchokozi wa kusudi, hapa kila mmoja ajipange
  17. Collectivism and individualism portrayal: Utimu na ubinafsi au uchoyo, beki ni beki, kiungo ni kiungo na strika ni strika, au kila mmoja ambebee mwenzake tukishambulia ni jukumu letu sote, tukishambuliwa sote tu mabeki, unataka sifa wewe au msifiwe wote
  18. Duels & aggressiveness: Bato za mipira ya juu, tackles, undava/mbavu viungo, mabeki, na mastrika
  19. Winning back lost possession : Kurudisha mpira uliopotea ama mmoja mmmoja au timu yote uharaka au uzuzu,
  20. Reckless loss of possession: Upotezaji pasi wa kijinga, kizembe, Utopolo /uyeboyebo/uzombi katika kupoteza pasi
  21. Winning back lost balls: Kuurudisha mpira uliopoteza kwa kukabwa na wapinzani, unaenda kukaba au unakabia macho au kila ukikaba na faulo pia au na kadi pia, wanabidii za kukaba mfano mido au strika akipoteza mpira anahangaika kukaba au kazi ya mabeki
  22. Time spent on possession and impact or threats to opponent: Muda wa kumiliki mpira na madhara yanaoenda kwa mpinzani mkiwa na mpira ni ya faida mnafunga, mnapata faulo, mnapata kona, mpinzani anapata kadi? Mnamiliki mpira ndio lakini je mnamadhara kwa mpinzani wenu, au mnajiteke na kucheka wenyewe? Ndio mtajua kuwa pasaka na idd ni sherehe za wote
  23. Being Positive, when an opponent scores first or equalizes: Uchanya wa fikra kutokata tama, mkianza kufungwa ama mpinzani akisawazisha hii ni noma-mashabiki wa Tanzania kwenye hii ni utopolo sana kwenye kushangilia timu ikifungwa kwanza
  24. Wasting scoring chances and morale decay: Kupoteza nafasi za kufunga magoli na namna ambavyo haimvunji moyo au morali mkosaji nafasi, ni muhimu mnapokosa magoli mchezaji aendelee kuwa na bidii na tumaini kubwa juu yake mwenyewe, na imani yake ya kuaminiwa na kocha.
  25. The role of the managers and technical staffs: Nafasi ya kocha na benchi la ufundi katika kuusoma mchezo, mbinu, mapungufu na nini kifanyike, wapi na wakati gani, maelekezo wakati mpira unaendelea, kufanya uamuzi sahihi wakati sahihi, kuzingatia umuhimu wa mechi na matokeo
 
huu sio mtazamo......Bali ni maoni yako

Kuna tofauti Kati ya vitu hivyo viwil
 
Naona umetaja vitu tu. Nilitegemea uchambuzi wa vikosi vya team zote mbili, pamoja na mbinu tutakazoweza kuziona zikitumika. Ila imekua tofauti na matarajio yangu.

Kwa upande wangu mimi, nadhani mechi itaamuliwa kwenye midfield. Sehemu nyingine naona kama zimebalance kwa pande zote mbili. Yanga wana mshambuliaji hatari sana, ila akina Kagere pia si haba endapo watapata mpira wakiwa kwenye nafasi.

Ndio maana naamini kua atakaeweza kulikamata dimba, ndie atakaekua na nafasi nzuri ya kushinda. Feysal na Aucho wakiwa kwenye ubora wao, team inakua na imara sana, hasa kwenye transition kutoka kwenye kuzuia, na kwenda kushambulia. Naamini Simba wanalifahamu hilo, na wamejipanga kulizuia. Ndio maana nadhani pale katikati patawaka moto.

Mayele akipata nafasi hakuachi. Kagere akipata nafasi hauponi. Kesi inabaki kwenye kuzitengeneza hizo nafasi.

Kwako Mwalimu Kashasha (R.I.P)
 
Hello soka lovers JF
  1. Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls
  2. Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi kuona hatari na mipira ya hatari
  3. Attacking- Hapa uharaka kwenda eneo la adui, ghasia kwa mabeki, maelewano na mikimbio yao, uwepo wa mashambulizi ya mara kwa mara, ufikaji wa eneo na uwepo wa eneo la mwisho la mpinzani
  4. Buildup- Mashambulizi yanaanzia wapi kipa, mabeki wa pembeni, mabeki wa kati, viungo, na kwa lengo gani (kaunta and confusion)
  5. Set pieces (fouls &Corners) Kuziepuka, kusababisha, ukabaji, uzuiaji, kipa kujipanga, macho, kupanga mabeki, kumfahamu mpigaji, matumizi yake na mafanikio yake, mnapata ngapi na mnapata nini?
  6. Transitions (Difence area-Midfield area-attacking(final third): kuhama kutoka eneo moja la uwanja hadi jingine Uharaka wa pass na miondoko, upekee, umoja, makundi, kutawanyika, ushiriki kutembeza mpira au kugawa pass, macho ya haraka na kutoa pasi, nani aende nani abaki, ubaki kwa nini, uende kwa nini, adui wamekaaje, uelekeo wa mpira pass fupi, ndefu, speed- je kukimbia zaidi, katikati au kutokea pembeni
  7. Winning spirit/energy & collective play (team work): Hamasa za ushindi na upamoja kwa kila kitu miongoni mwa wachezaji
  8. Mental strength (overconfidence vs.respect to opponents: Uimara kiakili na hasa kujiamini kupita kiasi and kuheshimu wapinzani au kuwadharau na nini kinatokea kutokana na hayo kwa kila timu au mchezaji au wachezaji
  9. Convetion rate on chances created: Utumiaji wa nafasi za kufunga isiwe nafasi tu bali je magoli yamepatikana? Mmepata nafasi ngapi na ngapi zimeleta magoli?
  10. Shots created-( off target and on target): Mashuti yaliopigwa- yaliolenga goli na yasiyolenga goli
  11. Passing accuracy and precision of passing intention: Usahihi na wa pass na usahihi wa malengo ya mpasiaji
  12. Strikers’ Movement and harassment: Namna washambuliaji wanavyotembea/kukimbia meaeneo yao kurahisisha upasiaji na upokeaji wa pasi, space positioning vs chances created, usumbufu wao kwa mabeki
  13. Referee fairness and game handling: Refa kufuata kanuni na sharia kutopendelea kuamua goli, faulo, offsides, kupeta etc na udhibiti wake wa mchezo
  14. Incorrect /correct off-side and fouls calls : Uwamuzi sahihi ama usio sahihi wa offside, faulo, utoaji wa kadi, penati, mpira wa kurushwa etc.
  15. Transitions on game plans: Uhamaji katika mipango ya mechi – tunashambulia vipi, tunakaba vipi, tunazauia vipi majukumu ya kila mmoja ya binafsi na ya pamoja, wakati gani, mahali gani, ikiwa kuna nini
  16. Game tempo: Uspeed au uslow wa game purukushani za wachezaji, mizozo, magomvi, uchokozi wa kusudi, hapa kila mmoja ajipange
  17. Collectivism and individualism portrayal: Utimu na ubinafsi au uchoyo, beki ni beki, kiungo ni kiungo na strika ni strika, au kila mmoja ambebee mwenzake tukishambulia ni jukumu letu sote, tukishambuliwa sote tu mabeki, unataka sifa wewe au msifiwe wote
  18. Duels & aggressiveness: Bato za mipira ya juu, tackles, undava/mbavu viungo, mabeki, na mastrika
  19. Winning back lost possession : Kurudisha mpira uliopotea ama mmoja mmmoja au timu yote uharaka au uzuzu,
  20. Reckless loss of possession: Upotezaji pasi wa kijinga, kizembe, Utopolo /uyeboyebo/uzombi katika kupoteza pasi
  21. Winning back lost balls: Kuurudisha mpira uliopoteza kwa kukabwa na wapinzani, unaenda kukaba au unakabia macho au kila ukikaba na faulo pia au na kadi pia, wanabidii za kukaba mfano mido au strika akipoteza mpira anahangaika kukaba au kazi ya mabeki
  22. Time spent on possession and impact or threats to opponent: Muda wa kumiliki mpira na madhara yanaoenda kwa mpinzani mkiwa na mpira ni ya faida mnafunga, mnapata faulo, mnapata kona, mpinzani anapata kadi? Mnamiliki mpira ndio lakini je mnamadhara kwa mpinzani wenu, au mnajiteke na kucheka wenyewe? Ndio mtajua kuwa pasaka na idd ni sherehe za wote
  23. Being Positive, when an opponent scores first or equalizes: Uchanya wa fikra kutokata tama, mkianza kufungwa ama mpinzani akisawazisha hii ni noma-mashabiki wa Tanzania kwenye hii ni utopolo sana kwenye kushangilia timu ikifungwa kwanza
  24. Wasting scoring chances and morale decay: Kupoteza nafasi za kufunga magoli na namna ambavyo haimvunji moyo au morali mkosaji nafasi, ni muhimu mnapokosa magoli mchezaji aendelee kuwa na bidii na tumaini kubwa juu yake mwenyewe, na imani yake ya kuaminiwa na kocha.
  25. The role of the managers and technical staffs: Nafasi ya kocha na benchi la ufundi katika kuusoma mchezo, mbinu, mapungufu na nini kifanyike, wapi na wakati gani, maelekezo wakati mpira unaendelea, kufanya uamuzi sahihi wakati sahihi, kuzingatia umuhimu wa mechi na matokeo
sio 29/4/2022 ni 30/4/2022

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Blah blah blah
Mwisho Yanga 0 Simba 1+
 
Back
Top Bottom