Mtazamo wangu: Postimitemu ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Mtazamo wangu: Postimitemu ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Doctor Mama Amon

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,089
Reaction score
2,725
Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo:

1. Mchakato wa kuandaa Ilani ya uchaguzi
2. Mchakato wa kujenga Mtandao wa kampeni za uchaguzi
3. Kusimamia kura za Maoni
4. Historia ya kufuata Katiba ya Chama
5. Utaratibu wa kufanya Kampeni
6. Mchakato wa kuandaa Mawakala
7. Mchakato wa Kuapisha Mawakala
8. Bajeti ya kuwezesha Mawakala
9. Mchakato wa kupiga na kupigiwa Kura
10. Mchakato wa Kutangaza Matokeo
11. Mchakato wa Kutafuta Wawakikishi wa Viti Maalum
12. Mchakato wa Kuapisha waliotangazwa washindi
13. Jukumu la chama cha siasa kupeleka wabunge wa viti maalum Bungeni.

Nipeni nondo kwa ajili ya postmortem hii
 
Subiri kwanza Maalim Seif akishaapishwa, na viti maalum CHADEMA ikiwa tayar---- ndo ulete hiyo tathmini yako
 
Huwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?
 
Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo:

6. Kuandaa mawakala
7. Kuapisha mawakala
8. Kuwezesha mawakala

Nipeni nondo kwa ajili ya postmortem hii
P
 
Huwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?

Hoja gani?
Hapa nimeomba nondo za kujengea hoja.
Bado napangilia pointi zangu.
Sasa umeangushwa na kitu gani?
Ha ha ha....
Utakuwa umejiangusha mwenyewe...
Usipakue chakula kabla hakijaiva...
 
Huwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?
Ukivua miwani ya uswahiba wa kichama, na ukafikiri kama nimavyofanya, kwa kutumia misingi huru ya hojaji, utaona ukweli ninaousema. Tuliza bongo kwanza.
 
Back
Top Bottom