Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo:
6. Kuandaa mawakala
7. Kuapisha mawakala
8. Kuwezesha mawakala
Nipeni nondo kwa ajili ya postmortem hii
Siku siyo nyingi ngoja nyumbu wasahau sahau kdgDah... Wataapa lini hawa? Sio mbali huko?
Mada murua kbsHuwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?
Huwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?
Unawashwa?Waulize CCM wenzako wakupe nondo
Ukivua miwani ya uswahiba wa kichama, na ukafikiri kama nimavyofanya, kwa kutumia misingi huru ya hojaji, utaona ukweli ninaousema. Tuliza bongo kwanza.Huwa mada zako zimeshiba nondo ila leo kwakweli umeniangusha?