Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Nisikuchoshe,

Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi.

Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule.

Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula. Ambapo anayetaabika ni mtumishi wa umma na wanao wananchi maskini.
 
Tatizo ni Magufuli kujaza wapigaji serikalini.
 
Kwahiyo mnataka mama apige window chini?

Gharama yake ni kubwa sio mchezo
 
Back
Top Bottom