Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA
Habari wadau.
Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC.
Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe IMETOSHA.
Game za derby hizi, wachezaji/timu zinatumia energy kubwa mno.
Kwa hiyo, ni ngumu mno kuwa na performance bora kwenye mechi inayofuata kutokana na fatigue.
Kwa hiyo, walio karibu na timu waendelee kuwajenga wachezaji wetu kiakili,kimwili na kisaikolojia ili waweze kurecover kwa haraka kabla ya mechi ijayo.
Kwa mtazamo wangu,Kocha Mkuu wa muda, nilikuwa nafikiri angebaki na majukumu yake ya kuwa Kocha wa Makipa,huku Kocha Mgunda na Matola wakipewa majukumu ya kuisimamia timu kwa muda huu ambao viongozi wanaendelea na mchakato wa kumpata Kocha Mkuu aidha iwe Sven,Gomez au mwingine yeyote ambaye ikiwezekana awe anayeweza kuibeba falsafa ya timu kwa haraka maana timu tayari ipo kwenye mashindano na hatuna muda wa kupoteza au wa majaribio.
Kwa washabiki na wanachama,tunahitaji kuwa watulivu na wavumilivu kwani haya tunayoyafanya hayawezi kutusaidia kwa sasa.
Ahsante.
SIMBA NGUVU MOJA.
#Van Gaal