Mtazamo wangu: Simba wampe timu Zahera aifikishe mwisho wa msimu wakati wakitafuta kocha wa muda mrefu

Mtazamo wangu: Simba wampe timu Zahera aifikishe mwisho wa msimu wakati wakitafuta kocha wa muda mrefu

Utopolo wanaishauri simba kuhusu kocha, bodi yetu tunaoamini sidhani kama watashindwa kumpata kocha bora
 
Au Maosud Juma.
Nimkubali kwa jinsi asivyochelewa kufanya Sub.
Na kuifanya timu kucheza kwa kasi
Jamaa kama ulikuwepo kwenye akiliyangu.
Masoud Juma mwepesi sana kuwaelewa wachezaji pamoja na team.team inapokuwa uwanjani kocha Masoud Juma ni mwepesi sana kuona madhaifu na kufanya Sub.
Pia nakubalina na mtoa post bilashaka yoyote.
 
kawaida tu unadhani utopolo leo wakimpta Hajj manara hawatampamba?shughuli itakuwa kwa yanga kumtukana maana aliwabeba sana na bado anawadai hela
Nyie pisi kali hebu kuweni na adabu, Yanga ina heshma zake hatuhitaji walevi, waropokaji na wachawi. Huyo abakie huko Black Nyau FC (BNF).
 
Ukweli ni kwamba group stages ni mwezi ujao tu,akiletwa mzungu hapa itakuwa balaa sana mda wa kuanza kuisoma team tutalaumiana ,zahera anaijua simba anajua hata tabia za wachezaji wa simba.

Kuna kocha yule mdachi aliyekuwa leopards naona anapigiwa debe lakini hivi jamani hamjawahi kufikiria kuna suala la lugha linatatiza wachezaji?

Jana nilikuwa naanglia clips za kwenye boats wakienda zanzibar,Morrison anataniana na wenzake wanakula karanga za nganda halafu wakamuita wanamumbia akawatafutie dust bin jamaa kuzenguana akamuambia dilunga na Ajib kwamba hawana lolote kuliko yeye yeye ndo messi(alisema kwa english)huku zimbwe akiwa anacheka akasema kasoro huyu(yaani zimbwe jr)dilunga na ajib wakabaki wanatoa macho ,nilijiuliza sana kuna uwezekano hawajamuelewa au ile heavy accent ya ki west africa ni shida kwao kuisikia.

Wachezaji wa utopolo leo hawana shida ya lugha mburundi wanamuelewa,wanaozungumza kifaransa wanaumelewa pia hat wa English
TAFDHALI MPENI TEAM MWINYI ZAHERA...siku 3 tu itacheza anavyotaka yeye.Huku hakuna shida ya hela aliyokumbana nayo yanga na kuhusu nidhamu tunajua kina mkude wenyewe watanyooka kwa huyo mkongo
Zahera anajua kupaki basi tu
 
Back
Top Bottom