Mtazamo wangu: Simba wampe timu Zahera aifikishe mwisho wa msimu wakati wakitafuta kocha wa muda mrefu

Utopolo wanaishauri simba kuhusu kocha, bodi yetu tunaoamini sidhani kama watashindwa kumpata kocha bora
 
Au Maosud Juma.
Nimkubali kwa jinsi asivyochelewa kufanya Sub.
Na kuifanya timu kucheza kwa kasi
Jamaa kama ulikuwepo kwenye akiliyangu.
Masoud Juma mwepesi sana kuwaelewa wachezaji pamoja na team.team inapokuwa uwanjani kocha Masoud Juma ni mwepesi sana kuona madhaifu na kufanya Sub.
Pia nakubalina na mtoa post bilashaka yoyote.
 
kawaida tu unadhani utopolo leo wakimpta Hajj manara hawatampamba?shughuli itakuwa kwa yanga kumtukana maana aliwabeba sana na bado anawadai hela
Nyie pisi kali hebu kuweni na adabu, Yanga ina heshma zake hatuhitaji walevi, waropokaji na wachawi. Huyo abakie huko Black Nyau FC (BNF).
 
Zahera anajua kupaki basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…