Mtazamo Wangu: Tatizo la Simba SC kuwa na matokeo mabovu linaanzia hapa...

Mtazamo Wangu: Tatizo la Simba SC kuwa na matokeo mabovu linaanzia hapa...

Kwan makocha wote si wanashauriana na kufanya kazi kwa pamoja? Au we huwaoni?. Mgunda hawez kuwapeleka kokote. Tatizo mmejiandaa kushinda kila siku.... Hili ndo la kutibiwa
Kwanini waachwe makocha wawili wafanye kazi sehemu moja ikiwa mashabiki.walishaonesha hawana imani na Mgunda?
 
Figisu za uto vipi wakati kura zilipigwa twitter na mashabiki wa Simba Sc, na Mo ndie alieruhusu hilo.
Mpwa, Twitter haibagui huyu ni Simba au Yanga. Anyone anaweza vote! Kama walifanya maamuzi based kwenye kura za Twitter watakua wajinga. Ni washabiki wangapi wako Twitter??
 
Mpwa, Twitter haibagui huyu ni Simba au Yanga. Anyone anaweza vote! Kama walifanya maamuzi based kwenye kura za Twitter watakua wajinga. Ni washabiki wangapi wako Twitter??
Kam hivyo ndivyo, basi hilo sio kosa la mashabiki,.ni kosa la yule aliyewaruhusu kutolea maoni yao twitter.
 
Mchezaiji Kama baleke hata kupiga vichwa hajui nafas za waz anapiga nje toka mech na horoya raja na Jana pia kwa Azam...
Maoni yako kuhusu Baleke ni dalili ya umbumbumbu na wewe ni ni moja ya watu wasiojielewa hata kidogo.

Mayele hivi karibuni amekuwa anakosa magoli kwa hiyo naye aitwe mshambuliaji machachari?

Hii Simba kweli ina watu wapumbavu sana
 
Salaam..

Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo.yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam...
Umepatwa na mhaho tu, Kaze na Nabi ni makocha wenye hadhi sawa, sema faida wanayoipata Yanga hawa makocha wote ni wafaransa by language Pili siyo waswahili waswahili.

Kwa kawaida ya waswahili Mgunda atakuwa anafurahi moyoni Simba isipofanya vizuri, nakumbuka siku moja tulikuwa na Julio Jojis club Posta, Simba kama Jana yake imetoka kupigwa Misri Julio alikuwa anafurahia na anamcheka Kaseja kisa alinyang'anywa timu.

Kwahiyo nakubali point ya hawa makocha wazawa kuwaweka na wageni ni Sumu roho zetu waswahili tunajuwana.
 
Maoni yako kuhusu Baleke ni dalili ya umbumbumbu na wewe ni ni moja ya watu wasiojielewa hata kidogo.

Mayele hivi karibuni amekuwa anakosa magoli kwa hiyo naye aitwe mshambuliaji machachari?

Hii Simba kweli ina watu wapumbavu sana
Kwa hiyo kwako Mayelle kukosa nafasi kwenye mechi mbili ndio aitwe mbovu licha ya kuwa kinara wa mabao?

Wewe ni mpumbavu, tuvumiliane tu.
 
Ulijuaje kuwa ni mashabiki wa Simba waliopiga kura?
Kwa sababu hizo kura ziliwahusu Simba Sc fans, kama wapo wasiohusika walijichanganya ni kiherehere chao tu.
 
Kwa hiyo kwako Mayelle kukosa nafasi kwenye mechi mbili ndio aitwe mbovu licha ya kuwa kinara wa mabao?

Wewe ni mpumbavu, tuvumiliane tu.
Mtu kama wewe ndiye mwenye akili hizo.
Mchezaji bora anaonekana kama anavyoonekana Baleke,ila watu wajinga kama wewe ndio mnashindwa kuona
 
Umepatwa na mhaho tu, Kaze na Nabi ni makocha wenye hadhi sawa, sema faida wanayoipata Yanga hawa makocha wote ni wafaransa by language Pili siyo waswahili waswahili...
Nilitaka kusema hili nikasita kidogo, nisije kushukiwa kama mwewe na mashabiki, asante.
 
Kama mnaleta kocha katikati ya msimu what do you expect?
kishingo na gomez walikuja kati kati ya msimu bt walianzia walipoishia watangulizi bt kimeo robertinyo anaanza upya kati kati ya msimu, kocha ndo kirusi.
 
kishingo na gomez walikuja kati kati ya msimu bt walianzia walipoishia watangulizi bt kimeo robertinyo anaanza upya kati kati ya msimu, kocha ndo kirusi.
Hao wawili walikuwa huru kutimiza majukumu yao, hawakubanwa na kocha aliyetangulia.
 
Yanga inanolewa na Nabi, akisaidiwa na Kaze. Kaze ni kocha mzuri, na mkubwa, ananitosheleza kupewa timu peke yake, na alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga.

Man UTD, Ina Ten Hag, ila moja kati ya walio chini yake ni Steve Maclaren. Huyu alishawahi kuwa kocha wa timu ya Taifa ya England, lakini pia alishawahi simamia vilabu kadhaa pale EPL.

So, hapo Simba acheni kuangushia jumba bovu kwa Mgunda, nyie mnamatatizo binafsi mengi.

Timu yenu ni nzuri, Ina wachezaji wenye experience, ila wengi hawakustaili kuendelea kuwepo pale.

Mechi ya jana, Azam hata hawakutumia nguvu nyingi, kazi ilirahisishwa na ninyi. Ushawahi angalia Azam vs Yanga inavyokuwaga? Huwa wanakamiaga sana, wangekamia ya jana, basi mlikuwa mnakufa goli nyingi.

Matola hakuwahi kuwa tatizo pale Simba, Mgunda pia sio tatizo, tatizo lipo kwa viongozi wenu, ambao wanamleta Manzoki kwenye kampeni, alaf kwenye usajili wanaleta Sawadogo. Simaanishi kuww Sawadogo ni mbaya, ila timu ilihitaji mfungaji zaidi kuliko kiungo.

Simba mnaendekeza sana loyalty kuliko reality. Wote tunajua, Bocco pale ni legend, ila kiuhalisia ilibidi awe ameshaondoka kitambo, au la, basi asiwe chaguo la kwanza au tegemezi.

Kiombo hana tofauti na Mzize, hawa wote ni back up strikers, ila tofauti yao ni kwamba, Mzize hana presha kubwa, maana mbele yake kuna Mayele na Musonda, so hata akikosa nafasi za wazi, halaumiwi sana. Ila Kiombo ni back up strikers anayetakiwa kuibeba timu kwa kufunga magoli kila mechi, maana mbele yake kuna Baleke (ambae bado anajaribu kuizoea timu) na Bocco ambae mwili na akili vinashindana.

Mpira ni mchezo wa wazi. Kila kinachotokea kinajionesha, wala hakuna uchawi. Mfano mdogo Liverpool, kabla ya msimu huu kuanza, wachambuzi wengi walisema wanahitajika kusajili kiungo mkabaji, maana form ya Fabinho ilionekana kushuka, pia Henderson peke yake huwa anastruggle, kwa kipindi kile haikuleta maana, ila sasa hivi ndio kila kitu kipo wazi.

Simba, Mgunda sio tatizo. Acheni ubishi.
 
Back
Top Bottom