Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
hhhaaaahhhaa!yy ni mkenya?!!!Kama sio Ali Kiba basi wabebe Sauti Sol.
Halafu sijakuelewa hapo kwa uzalendo kwanza...wewe ni Mkenya?
no i mean wakenya watatanguliza uzalendo kwao so kura zao zote atachukua mtu waoKama sio Ali Kiba basi wabebe Sauti Sol.
Halafu sijakuelewa hapo kwa uzalendo kwanza...wewe ni Mkenya?
unanijua au?hhhaaaahhhaa!yy ni mkenya?!!!
nikujulie wapi?!!!unanijua au?
Upande wa wanaume
Tanzania kuna Diamond na Ali Kiba kwahiyo hapa Tz watagawana kura
Kenya yupo Sauti sol anabeba kura zote, uzalendo kwanza
Uganda yupo Jose Chamelion, Bebe cool na Kenzo nao wanagawana kura huko
Tanzania kupata hiyo tuzo tusahau
Msifike mbali jamani,tumeshaelewana.unanijua au?
nikujulie wapi?!!!
nashangaa kauliza kishari!!Msifike mbali jamani,tumeshaelewana.
Kaa kimya wewe huna ujualo.unajua kenya picha nyingi ni za uhuru halafu zinafuta za diamond
akifika nairobi huyo domo anafunga jiji
kule nigeria kakomba fans wa p square davido iyanya na kcee huyo yemi alade anaijua hadi tandale
huko ug kawa shemeji wa nchi nzima
kwa tanzania anapigiwa kura maana jamaa ndio mtunzi wa nyimbo za taifa atakosa kura za kariakoo tu
hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!unajua kenya picha nyingi ni za uhuru halafu zinafuta za diamond
akifika nairobi huyo domo anafunga jiji
kule nigeria kakomba fans wa p square davido iyanya na kcee huyo yemi alade anaijua hadi tandale
huko ug kawa shemeji wa nchi nzima
kwa tanzania anapigiwa kura maana jamaa ndio mtunzi wa nyimbo za taifa atakosa kura za kariakoo tu
anyway yaishe tu ila kamjibu mtu mimi mkenya as if aliniona nikinusurika westgateMsifike mbali jamani,tumeshaelewana.
Ali Kiba ndio mdudu gani hivi?Kama sio Ali Kiba basi wabebe Sauti Sol.
Halafu sijakuelewa hapo kwa uzalendo kwanza...wewe ni Mkenya?
kwani unaogopa kuwa Mkenya?anyway yaishe tu ila kamjibu mtu mimi mkenya as if aliniona nikinusurika westgate
nifah wangu ktk ubora wake!!Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
Mpotezee bwananashangaa kauliza kishari!!
usikonde wangu yashaishaMpotezee bwana