Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
anakubalika kivipi ? Domo kiboko sasa hv tuna dab hadi madufuKaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
muulize avril atakwambia domo ni nanihapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
zari kamuharibia sana diamond kenya baada ya kuweka beef na huddaKaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
wewe ni mbishi mkuu sijawai kuona ..hujui wakenya weweanakubalika kivipi ? Domo kiboko sasa hv tuna dab hadi madufu
huko kenya domo akitoa nyimbo remix ya kwanza inatoka kenya
muulize avril atakwambia domo ni nani
hao sauti sol youtube hawana hata watu wa kuwaangalia huko kenya internet ni anasa hakuna kura za kutosha kuliko za domo
Muambie huyo,hajui hali halisi.hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua kenya picha nyingi ni za uhuru halafu zinafuta za diamond
akifika nairobi huyo domo anafunga jiji
kule nigeria kakomba fans wa p square davido iyanya na kcee huyo yemi alade anaijua hadi tandale
huko ug kawa shemeji wa nchi nzima
kwa tanzania anapigiwa kura maana jamaa ndio mtunzi wa nyimbo za taifa atakosa kura za kariakoo tu
yaani diamond kadrop hadi roho inaniuma halafu alivo mjinga kama ankomoa watu sijui anapenda kumpost post zari kama anawakomoa haters kumbe anazidi kujiharibia kwani maisha yake ya mapenzi si aweke kando? mbona kiba na wanamuziki wengine wapo kimya? sijui yule bibi anamlazimisha?Muambie huyo,hajui hali halisi.
Cjashtuka kusoma apa kumbe niyuleyuleKama sio Ali Kiba basi wabebe Sauti Sol.
Halafu sijakuelewa hapo kwa uzalendo kwanza...wewe ni Mkenya?
kwa sababu ni wakenya wenzio auwewe ni mbishi mkuu sijawai kuona ..hujui wakenya wewe
Sijakuelewa mkuu...una maanisha nini?Cjashtuka kusoma apa kumbe niyuleyule
tutaonakwa sababu ni wakenya wenzio au
hudda ana beef na zari(kwa mujibu wa maneno yako) halafu unataka hudda huyo huyo amsemee vizuri mume wa zari ambaye ana beef nae ? Miss Natafuta kitu unachotafuta hupati
fika nairobi uone picha za domo na nembo ya wcb hadi chooni
mkuu dogo yupo busy na mpenzi wake anatukana wadau eti tuzo zimemtoshaMfano mzuri kwamba saizi mondi atakuwa kalikoroga ni kwenye zile tuzo za nigeria ambazo Alikiba ameshinda vipengele viwili huku Diamond akikosa kabisa, vipengele vyote alikiba alifikisha kura zisipongua 7000 ila mondi alikuwa na kura zisizozidi 1000, ss hapa sielewi ndo kusema zile tuzo wameona ni ndogo ndomana wapigaji kura wake hawakupiga ipasavyo au laaa
tupo hapa tusubiri mkuu? utajua maana ya wapiga kura? anatukana mamba wakati hajavuka mto sioDaimond lazma avute tuzo moja! Na akivuta moja uje ukanushe hili bandiko lako
watu kujifny watabir akipata ananunua akikosa ana drop kwa hyo mnatakajetupo hapa tusubiri mkuu? utajua maana ya wapiga kura? anatukana mamba wakati hajavuka mto sio
haitaji hasira mkuuwatu kujifny watabir akipata ananunua akikosa ana drop kwa hyo mnatakaje
kwa maelezo yako inaonekana unamchukia zar so haiitaj akir ya ziadahaitaji hasira mkuu
hata mimi ni fan wa diamond ila tabia zake za ajabu zinamletea mabeef yasiyokuwa na tija .tunamshauri tu asichanganye mapenzi na kazi
simchukii ila sipendi tabia zake .ushawai kuona mpenzi wa star yoyote kwenye mitandao akijibizana na watu wanaomcritisize mume wakekwa maelezo yako inaonekana unamchukia zar so haiitaj akir ya ziada