Mtazamo wangu: Tuzo zote za Afrimma East Africa kwenda Kenya

Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
anakubalika kivipi ? Domo kiboko sasa hv tuna dab hadi madufu
huko kenya domo akitoa nyimbo remix ya kwanza inatoka kenya
hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
muulize avril atakwambia domo ni nani
hao sauti sol youtube hawana hata watu wa kuwaangalia huko kenya internet ni anasa hakuna kura za kutosha kuliko za domo
 
zari kamuharibia sana diamond kenya baada ya kuweka beef na hudda
huku bongo nako kachafua sana hewa kumtukana wema na kuita watu malaya ,hawajaenda leba na pia team yake kumtukana mama chibu..yaani diamond sasa hivi atasikia tu tuzo hewani hata team yake tunamuhama sasa
 
anakubalika kivipi ? Domo kiboko sasa hv tuna dab hadi madufu
huko kenya domo akitoa nyimbo remix ya kwanza inatoka kenya
muulize avril atakwambia domo ni nani
hao sauti sol youtube hawana hata watu wa kuwaangalia huko kenya internet ni anasa hakuna kura za kutosha kuliko za domo
wewe ni mbishi mkuu sijawai kuona ..hujui wakenya wewe
 
hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
Muambie huyo,hajui hali halisi.
 
unajua kenya picha nyingi ni za uhuru halafu zinafuta za diamond

akifika nairobi huyo domo anafunga jiji
kule nigeria kakomba fans wa p square davido iyanya na kcee huyo yemi alade anaijua hadi tandale

huko ug kawa shemeji wa nchi nzima

kwa tanzania anapigiwa kura maana jamaa ndio mtunzi wa nyimbo za taifa atakosa kura za kariakoo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muambie huyo,hajui hali halisi.
yaani diamond kadrop hadi roho inaniuma halafu alivo mjinga kama ankomoa watu sijui anapenda kumpost post zari kama anawakomoa haters kumbe anazidi kujiharibia kwani maisha yake ya mapenzi si aweke kando? mbona kiba na wanamuziki wengine wapo kimya? sijui yule bibi anamlazimisha?
 
wewe ni mbishi mkuu sijawai kuona ..hujui wakenya wewe
kwa sababu ni wakenya wenzio au

hudda ana beef na zari(kwa mujibu wa maneno yako) halafu unataka hudda huyo huyo amsemee vizuri mume wa zari ambaye ana beef nae ? Miss Natafuta kitu unachotafuta hupati

fika nairobi uone picha za domo na nembo ya wcb hadi chooni
 
tutaona
 
Mfano mzuri kwamba saizi mondi atakuwa kalikoroga ni kwenye zile tuzo za nigeria ambazo Alikiba ameshinda vipengele viwili huku Diamond akikosa kabisa, vipengele vyote alikiba alifikisha kura zisipongua 7000 ila mondi alikuwa na kura zisizozidi 1000, ss hapa sielewi ndo kusema zile tuzo wameona ni ndogo ndomana wapigaji kura wake hawakupiga ipasavyo au laaa
 
Daimond lazma avute tuzo moja! Na akivuta moja uje ukanushe hili bandiko lako
 
Mfano mzuri kwamba saizi mondi atakuwa kalikoroga ni kwenye zile tuzo za nigeria ambazo Alikiba ameshinda vipengele viwili huku Diamond akikosa kabisa, vipengele vyote alikiba alifikisha kura zisipongua 7000 ila mondi alikuwa na kura zisizozidi 1000, ss hapa sielewi ndo kusema zile tuzo wameona ni ndogo ndomana wapigaji kura wake hawakupiga ipasavyo au laaa
mkuu dogo yupo busy na mpenzi wake anatukana wadau eti tuzo zimemtosha
 
watu kujifny watabir akipata ananunua akikosa ana drop kwa hyo mnatakaje
haitaji hasira mkuu
hata mimi ni fan wa diamond ila tabia zake za ajabu zinamletea mabeef yasiyokuwa na tija .tunamshauri tu asichanganye mapenzi na kazi
 
kwa maelezo yako inaonekana unamchukia zar so haiitaj akir ya ziada
 
simchukii ila sipendi tabia zake .ushawai kuona mpenzi wa star yoyote kwenye mitandao akijibizana na watu wanaomcritisize mume wake
mfano kina p square,au ally kiba hivi
 
Back
Top Bottom