Ali Kiba ni maarufu Machakos na Mombasa while Diamond ni maarufu NairobiKaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye team za taifa zimefufuka
Sawa..!!!hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
Sawa..!!!zari kamuharibia sana diamond kenya baada ya kuweka beef na hudda
huku bongo nako kachafua sana hewa kumtukana wema na kuita watu malaya ,hawajaenda leba na pia team yake kumtukana mama chibu..yaani diamond sasa hivi atasikia tu tuzo hewani hata team yake tunamuhama sasa
Bibi gani anamlazimisha..!?yaani diamond kadrop hadi roho inaniuma halafu alivo mjinga kama ankomoa watu sijui anapenda kumpost post zari kama anawakomoa haters kumbe anazidi kujiharibia kwani maisha yake ya mapenzi si aweke kando? mbona kiba na wanamuziki wengine wapo kimya? sijui yule bibi anamlazimisha?
Sawa..!!!haitaji hasira mkuu
hata mimi ni fan wa diamond ila tabia zake za ajabu zinamletea mabeef yasiyokuwa na tija .tunamshauri tu asichanganye mapenzi na kazi
Kura za KibaUpande wa wanaume
Tanzania kuna Diamond na Ali Kiba kwahiyo hapa Tz watagawana kura
Kenya yupo Sauti sol anabeba kura zote, uzalendo kwanza
Uganda yupo Jose Chamelion, Bebe cool na Kenzo nao wanagawana kura huko
Tanzania kupata hiyo tuzo tusahau
Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
Mbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?Kura za Kiba
Tz
Kenya
Kura za Diamond
Uganda (Kwa shem Zari)
Congo (kajiongezea mashabiki wa papa wemba)
Nigeria (kajiongezea mashabiki wa p.square)
Kenya Ulaya (Shoo alizofanya ktk nchi km Frane, Marekani (One africa festival hii kitu ilikuwa kubwa) (Bet Nomination), Australia kuna mashabiki kajiongezea n kujitambulisha zaidi)
South Africa (kajiongezea Mashabiki wa Aka, Casper Mafikizolo)
Afrimma is big tofauti na zile tuzo ndo maana hata jina za izo tuzo ww huzijuiMbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?
Jiongeze wewe.
Upload izo picha za chooni hapa na nyinginezo.....kwa sababu ni wakenya wenzio au
hudda ana beef na zari(kwa mujibu wa maneno yako) halafu unataka hudda huyo huyo amsemee vizuri mume wa zari ambaye ana beef nae ? Miss Natafuta kitu unachotafuta hupati
fika nairobi uone picha za domo na nembo ya wcb hadi chooni
Unajiita brave kwa utumbo ulioandika hapo!! Maajabu hayatoisha.Always WCB ile nembo tu inatosha kumpigia kura Mr Lion.... Huyu Lupela asubir Tembo na manyumbu wampigie but not brave people like me!!! Sisemi Nawaza tu kwa sauti