Mtazamo wangu: Tuzo zote za Afrimma East Africa kwenda Kenya

Mtazamo wangu: Tuzo zote za Afrimma East Africa kwenda Kenya

cha ajabu hakita kuwepo..
ikumbukwe kuwa afrimama sio kama KTMA
 
Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
Ali Kiba ni maarufu Machakos na Mombasa while Diamond ni maarufu Nairobi
 
katika hao wasanii wawili mmoja anategemea mashabiki wa tanzania na kenya, na mwingine anategemea mashabiki wa nchi nyingi za afrika, kwahiyo mtoa mada usijali tuzo lazima ije bongo.
 
Mashabiki wa Mondi ni kama Kenya nzima...
Sijaona reason yakumkosesha Chibu tuzo
Diamond Plutnumz [emoji238] #GOAT
 
hapa bongo diamond hana kura nyingi tena yule hawara wake kamuharibia sana anatukana watu sana huko insta.kamsababishia diamond mabeef yasiyo na maana me mwenyewe nilikuwa nampenda diomond sana ila kwa sasa simfeel kiviile!
bora useme hata alikiba anaweza kupata kura huko kenya diomond big no muulize huda
Sawa..!!!
 
zari kamuharibia sana diamond kenya baada ya kuweka beef na hudda
huku bongo nako kachafua sana hewa kumtukana wema na kuita watu malaya ,hawajaenda leba na pia team yake kumtukana mama chibu..yaani diamond sasa hivi atasikia tu tuzo hewani hata team yake tunamuhama sasa
Sawa..!!!
 
yaani diamond kadrop hadi roho inaniuma halafu alivo mjinga kama ankomoa watu sijui anapenda kumpost post zari kama anawakomoa haters kumbe anazidi kujiharibia kwani maisha yake ya mapenzi si aweke kando? mbona kiba na wanamuziki wengine wapo kimya? sijui yule bibi anamlazimisha?
Bibi gani anamlazimisha..!?
 
Upande wa wanaume
Tanzania kuna Diamond na Ali Kiba kwahiyo hapa Tz watagawana kura

Kenya yupo Sauti sol anabeba kura zote, uzalendo kwanza

Uganda yupo Jose Chamelion, Bebe cool na Kenzo nao wanagawana kura huko

Tanzania kupata hiyo tuzo tusahau
Kura za Kiba
Tz
Kenya

Kura za Diamond
Tz
Uganda (Kwa shem Zari)
Congo (kajiongezea mashabiki wa papa wemba)
Nigeria (kajiongezea mashabiki wa p.square)
Kenya
Ulaya (Shoo alizofanya ktk nchi km Frane, Marekani (One africa festival hii kitu ilikuwa kubwa) (Bet Nomination), Australia kuna mashabiki kajiongezea n kujitambulisha zaidi)
South Africa (kajiongezea Mashabiki wa Aka, Casper n Mafikizolo)
 
Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.

Kura za Kiba
Tz
Kenya

Kura za Diamond
Uganda (Kwa shem Zari)
Congo (kajiongezea mashabiki wa papa wemba)
Nigeria (kajiongezea mashabiki wa p.square)
Kenya Ulaya (Shoo alizofanya ktk nchi km Frane, Marekani (One africa festival hii kitu ilikuwa kubwa) (Bet Nomination), Australia kuna mashabiki kajiongezea n kujitambulisha zaidi)
South Africa (kajiongezea Mashabiki wa Aka, Casper Mafikizolo)
 
Mbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?
Jiongeze wewe.
 
kwa sababu ni wakenya wenzio au

hudda ana beef na zari(kwa mujibu wa maneno yako) halafu unataka hudda huyo huyo amsemee vizuri mume wa zari ambaye ana beef nae ? Miss Natafuta kitu unachotafuta hupati

fika nairobi uone picha za domo na nembo ya wcb hadi chooni
Upload izo picha za chooni hapa na nyinginezo.....
 
Always WCB ile nembo tu inatosha kumpigia kura Mr Lion.... Huyu Lupela asubir Tembo na manyumbu wampigie but not brave people like me!!! Sisemi Nawaza tu kwa sauti
 
Always WCB ile nembo tu inatosha kumpigia kura Mr Lion.... Huyu Lupela asubir Tembo na manyumbu wampigie but not brave people like me!!! Sisemi Nawaza tu kwa sauti
Unajiita brave kwa utumbo ulioandika hapo!! Maajabu hayatoisha.
 
Mtakuja kusema amenunua hapa hapa,yaani Watanzania tuliumbwa wachawi kiasili
 
Back
Top Bottom