Mtazamo wangu: Tuzo zote za Afrimma East Africa kwenda Kenya

Mkuu me nidanganye ili iweje alafu me sipo kwenye hayo mambo ya utimu utimu, me nimetoa data km zilivo sema sielewi kwanini mtu uchukie mafanikio ya mwanaume mwenzio, anyway ushahidi wa huo apo
Tuzu alizoshinda alikiba zinaitwa NAFCA hapo kwenye screenshot hazipo acheni kubishana
Hapo tuzo alizo shinda Alikiba ni zipi? Nacho jua hizo zote bado hazijatolewa
 

Mkuu we mtu wa ajabu sana yani unakubali na kukataa mambo uliyoandika at the same time, anyway hizo tuzo kweny hiyo screen short ameorozesha tuzo anazogombania km 4 hv, zikiwemo affrima, uganda na Marekani na pia hizo tunazoongelea, zinaitwa AFRICANOSCAR sa sijui unajifanya hujaona hapo au kweny hiyo screen shot au laah, yani nilichogundua we unataka ubishe tu sijui ili uingize siku maana kila ulichotaka km uhakiki umepata ila still unataka ubishani uendelee, kwa upande wangu nimetoa evidence zote ili kutetea hoja yangu so naamini hakuna tena cha kudiscuss hapa

Kwa hapo tulipofikia naimani utakuwa umenielewa vizuri na umejiridhisha so lets call it a day, ila usisahau kumpigia kura Diamond kwenye tuzo ambazo zimesalia kwenye hiyo screen shot.

Na hiyo NAFCA ni kifupi cha hizo tuzo ndomana kwenye hiyo screen shot ya Diamond ukifata link ya africanoscar.com aliyoandika hapo inakupeleka kwenye hizo tuzo ambazo kifupi zimeandikwa NAFCA. Naamini tuko sawa mkuu
 
Usisahau alikiba kafanya dhuruma Kenyaaaaa ya Millioni 32 na wakenya ndo wanaongoza kwa. Kupost hiyo habari kuliko watanzania kuanzia Citizen
Hiyo dhuluma Ali Kiba aliifanya vipi? Lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…