Hivi kati ya Mimi na wewe Nani haelewi nakuona povu jingi akati nimekuuliza swali rahisi sana mkuu! Sijakataa Diamond kuomba kura tuzo kibao tuuu anaomba kura! Hapa tupo kwenye tuzo alizo shinda Alikiba na Diamond kashindwa wewe unasema Diamond aliomba Kura ukaleta na Screen shoot ndo nakuuliza hizo tuzo ambazo alikiba alishinda na diamond aliomba kura katika hizo ulizo screenshot ziko wapii Nitajie kama Ni Afrima au zipi mimi nimekwambia nacho jua hizo tuzo ulizo screenshot wewe bado hazijatolea
Sasa nieleweshe mimi kuwa tuzo hizii ndo diamond aliomba kura lakini amezikosa kiba kapata!! Kitu rahisi lakini povu jingiiiii.....sijui kusoma so naandikiwa na kusoma maandika yako hapo au?