Mimi siwakubali walimu kwa ujumla wao. Wengi wao ni vilaza hasa wa diploma. Hawajui mambo mengi sana katika field zao. Mimi nawakubali hasa vijana wale wa form six.Kwa wale wakongwe wenzangu watawakumbuka watu kama wakina Mwang'onda walituwekea msingi wa hesabu na kiingereza level ya msingi. Mwang'onda sasa hivi ni mchumi wa benki. Tutawakumbuka watu kama Mood pale mchikichini, mtaalamu wa physics. Makanya pale Magomeni,mtaalam wa hisabati na physics, huyu baadae alienda Uturuki nk. Hawa waliniwekea msingi imara ambao mpaka leo nautumia. HAWA WALIMU WETU WENGI WAO NI VILAZA SANA. NA HUWA SISHANGAI SANA NIKISIKIA FANI NYINGI ZIMEJAA VILAZA, KWA SABABU NI ZAO LA WALIMU VILAZA. Kazi yao kubwa ni kuwafanyia wanafunzi wao mitihani ya NECTA NA MOCK hasa inapokaribia mitihani.Unategemea nini mwanafunzi anayefaulu kwa staili hiyo.
NYAMBARI NYANGINYWE aliwaharibu zaidi wanafunzi kwa vijitabu vyake vile vilivyorahisishwa zaidi, na ndio wanavyotumia walimu wetu kuwafundishia wanafunzi.
TUKITAKA KUENDELEA KUZALISHA MADAKTARI,WAHANDISI,WANASHERIA,WANASAYANSI BOMU LAZIMA TUANGALIE JINSI TUNAVYOZALISHA WALIMU WETU, WALIMU WETU WENGI WAO NI VILAZA. NA HILI LIMESABABISHWA NA CCM KWA MIAKA MINGI TANGU WAKATI WA NYERERE. KUMBUKENI WALIMU WA UPE NA SASA VODAFASTA. FANI HII IMEKUWA KIMBILIO LA WALIOFELI.