Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

Nchi imekuwa ikiendelea kubadilika sura kabisa tangu mwaka 1961 lakini kubadilika sura huko haitafsiri maendeleo kwa watu moja kwa moja.
Elimu wakati wa Nyerere ilikuwa bora kuliko vipindi vyote vilivyofuatia.
 
Hivyo vituo vya afya,zahanati hakuna wahudumu wa afya wa kutosha na pia hata dawa hakuna. Pandol yenyewe hupatikani. Ukiandikiwa dawa lazima uende duka la dawa ukanunue

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule zibaboreshwa lkn ajira za walimu huini zikitangazwa kila mwaka kama zamani,hosp./zahanati zinaboreshwa lkn huoni ma dr. Wakiajiriwa kama zamani

Nadhani kwa sasa tunaboresha majengo then awamu inayokuja yenyewe ndio itaajiri sasa.
 
Wewe ni kilaza haswa,unafikiria maendeleo kwa watu kufungua Saloon,Bar na kuuza barafu!
Kilaza utakuwa wewe, yeye kazungumzia kwanza vitu muhimu vinavyo chochea uchumi na maendeleo , ambavyo ni miundo mbinu ya usafirishaji kama reli, barabara, na umeme ambavyo piga ua lazima vifanywe na serikali kwa hali yetu maana hakuna mtu binafsi au muwekezaji anayeweza kutufanyia hivyo, na kama akitokea terms and conditions zinaweza kuwa not favourable in terms of cost , time etc.
Sasa ukitoka hapo kuna vitu vingine ambavyo ni contributory factors ambavyo vinaweza kufanywa na current institutions tulipo nazo au private sectors, kama bank, insurance , telecommunication companies, road transport iwe buses , lorries, mpaka boda boda, guta bicycle na kutembea.
Ambapo anaongelea salon , barafu , ni sehemu ya provision ya services ambazo consumers wanazihitaji iwe for commercial purposes eg entertainment industry or on personal needs like music, film, bars , weddings , or other personal occassions etc.
Na hizi small industry nazo ni njia za kutoa ajira, kama vile tuna mkulima, tuna mtu wa ku process hizo products, kuna mtu wa kufanyia packaging au kutoa packaging materials, kuna mtu wa distribution and warehousing ma stockists, to wholesalers na retailers etc etc na hawa wote pia wana muhitaji huyo wa salon na wa barafu n.k
 
Hivyo vituo vya afya,zahanati hakuna wahudumu wa afya wa kutosha na pia hata dawa hakuna. Pandol yenyewe hupatikani. Ukiandikiwa dawa lazima uende duka la dawa ukanunue

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali jukumu lake ni kukupa huduma za Afya na elimu sio kukulisha , kinga kubwa ya magonjwa na lishe na makazi bora ambayo ni jukumu lako kujipatia na kunywa maji etc hivyo dawa kama panadol ambayo unaweza ku afford kununua mwenyewe , alternative nyingine ni kuchukua bima ya afya, hizi nchi unazo zisifia zina hizo bima za Afya usifikirie kwamba wanatoa hizo dawa kama unavyofikiria wewe.
Na kwa USA ilikuwa ni very big industry hiyo ya medical insurance iliyokuwa inawaumiza watu wa chini na kuwatajirisha watoa huduma, ndio Obama kuja na Obama Care ambayo ilipita kwa Mbinde na Hata sasa Trump anajaribu kuifuta ili kuondoa legacy ya Obama lakini so far ameshindwa.
Hivyo jitambue usiwe kama Nunda/ tarorabasa.
Na kwa UK ukiandikiwa dawa kwenda kununua, kuna sehemu ya pesa inakwenda nhs yaani national health services , na huko kuna kitu inaitwa Nations Insurance kwa ajili ya afya yako.
Hivyo hela unazo katwa kupitia N.I inakwenda NHS.
So mind u hapo umelipa NI na pia umenunua prescription drugs ambayo ina sehemu ya pesa yake inaenda tena nhs.
Na vitu vingine vinafanywa ili ujali afya yako, hivyo utakuta junk food inakatwa kodi kubwa ili kusaidia research na provision ya medical services utakapo ugua kwa uzembe wako.
 
You ought to be a nunda, kama utachukua hata 10 yrs u have to start somewhere otherwise u won't meet those targets.
Hata hao madaktari hawaji overnight, vifaa n.k vinakuja baada ya kuwa na sehemu ya kuviweka.
Na hata hizo nchi zilizoendelea kuna I have wa madaktari sema kwa kuwa uchumi wao upo vizuri basi wanapata madaktari wengi toka nchi zingine iwe India, Pakistani na nchi zingine iwe ya africa au Asia etc.
Na still kuna uhaba wa ma Dr.
Kwa mfano uingereza inaweza kukuchukua siku 3 mpaka umuone Dr (GP) ama sivyo uende kwenye hospital kubwa as emergency ambako unaweza ku spend 6 hrs kumuona Dr, Yule wa serious ndio anaweza fika na kuhudumiwa Palo hapo na hapo labda kaletwa na ambulance .
Sasa msiwe mnashadadia vitu msivyo vijua.

The average wait for a routine GP appointment in the UK has risen above two weeks for the first time, according to an annual survey of doctors. The poll, for Pulse, found the average waiting time was almost 15 days.Aug 12, 2019.

Background. The four-hour A&E waiting time target is a pledge set out in the Handbook to the NHS Constitution. The operational standard is that at least 95% of patients attending A&E should be admitted, transferred or discharged within four hours.May 1, 2020
 
Elimu wakati wa Nyerere ilikuwa bora kuliko vipindi vyote vilivyofuatia.
Nonsense! Hiyo "elimu bora" ya kipindi cha Nyerere ni ipi labda?

Elimu ya kutembea kilometa saba kufuata shule ndio unaita "elimu bora" hiyo?

Hiyo ya walimu wa UPE na memkwa?

Give me a break!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya kutembea km 7 ilikuwa bora kuliko hii ya shule za kata.Elimu hiyo pamoja na mapungufu yake ndio iliozalisha wakina Sitta,Samatta,Chenge,Lissu,Mahiga,Salim,Mfugale.Elimu iliyofuata imezalisha wakina Mlinga,Kibajaji na vijana wa aina yako.

Kama kusingekuwa na mitandao ya kijamii kama wakati huo hii nchi ingekuwa giza totoro kwa sasa.
Nonsense! Hiyo "elimu bora" ya kipindi cha Nyerere ni ipi labda?

Elimu ya kutembea kilometa saba kufuata shule ndio unaita "elimu bora" hiyo?

Hiyo ya walimu wa UPE na memkwa?

Give me a break!



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Du we mtoto umefika mbaali sana mpaka kusema tutakuwa kama SA, labda tukukumbushe nini wamefanya south mpaka kuwa wako hapo. Kijana wa Soweto alifanya kitu kinaitwa Reconciliation kwa uchache wake manake hata wabaya na mabeberu aliwasihi wawe sehemu ya maendeleo na kuwaweka watu kwanza.

Tanzania watu wako nyuma vitu kwanza, wabaya wenu mnawapiga risasi kweli
 
Elimu! Elimu! Elimu!

Elimu inayotolewa nyumbani ni ile inayozuia uvumbuzi (haijitoshelezi) na isiyolenga katika ufumbuzi na uvumbuzi. Imejikita kwenye nadharia. Kitu cha pili elimu yetu haimsaidii mtu kutatua matatizo. Mtu anamaliza form four hajui kwa ufasaha mazingira yanayomzunguka na wala hakui anayaka nini katika maisha yake, akiwa na miaka 18 tayari!!

Elimu ya kibaguzi inayoona mkazo katika lugha za watu wengine (ili kusaidia kuiga mawazo ya huko na kuyaleta katika mazingira yetu) kuwa ni ukosefu wa uzalendo!! Tujifunze lugha za wenzetu, ndio tutafahamu tamaduni zao na kuiga zile zilizo bora. Marekani ni taifa kubwa leo kwa sababu limetoa nafasi kwa watu kuleta mawazo ya mataifa mengi pamoja.

Elimu duni duni duni itatumaliza. Hii miundombinu itasaida waweKezaji wa nje tu, sisi tutaendelea kuwa waajiriwa wa mashambani na viwandani.
 
Mtu anayepinga mwl nyerere dam simuelewi na natamani kuzimia na kufa pale anaposema bwawa lile la umeme so lolote si chochote.eti laweza geuka white elephant aaaaah
 
Central corridor ya Tanzania useme reli sio muhimu kwa maendeleo utakuwa kichaa
 
Sawa ni mtizamo wako, myopic mtizamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…