darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna watu ni wachawi by default.
Hivi hata kutabiri maendeleo napo ni nongwa?
Mtoa mada ametoa tangible facts zilizo wazi na zenye maana.
Umeme, miundombinu, usafiri, huduma za jamii... baada ya miaka kumi nchi inabadilika sura kabisa.
Hii sio miujiza. Ni vitu halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule zibaboreshwa lkn ajira za walimu huini zikitangazwa kila mwaka kama zamani,hosp./zahanati zinaboreshwa lkn huoni ma dr. Wakiajiriwa kama zamaniHivyo vituo vya afya,zahanati hakuna wahudumu wa afya wa kutosha na pia hata dawa hakuna. Pandol yenyewe hupatikani. Ukiandikiwa dawa lazima uende duka la dawa ukanunue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza utakuwa wewe, yeye kazungumzia kwanza vitu muhimu vinavyo chochea uchumi na maendeleo , ambavyo ni miundo mbinu ya usafirishaji kama reli, barabara, na umeme ambavyo piga ua lazima vifanywe na serikali kwa hali yetu maana hakuna mtu binafsi au muwekezaji anayeweza kutufanyia hivyo, na kama akitokea terms and conditions zinaweza kuwa not favourable in terms of cost , time etc.Wewe ni kilaza haswa,unafikiria maendeleo kwa watu kufungua Saloon,Bar na kuuza barafu!
Serikali jukumu lake ni kukupa huduma za Afya na elimu sio kukulisha , kinga kubwa ya magonjwa na lishe na makazi bora ambayo ni jukumu lako kujipatia na kunywa maji etc hivyo dawa kama panadol ambayo unaweza ku afford kununua mwenyewe , alternative nyingine ni kuchukua bima ya afya, hizi nchi unazo zisifia zina hizo bima za Afya usifikirie kwamba wanatoa hizo dawa kama unavyofikiria wewe.Hivyo vituo vya afya,zahanati hakuna wahudumu wa afya wa kutosha na pia hata dawa hakuna. Pandol yenyewe hupatikani. Ukiandikiwa dawa lazima uende duka la dawa ukanunue
Sent using Jamii Forums mobile app
You ought to be a nunda, kama utachukua hata 10 yrs u have to start somewhere otherwise u won't meet those targets.Kama kweli umesoma uchumi na ulichoandika ni mtunda ya hiyo elimu yako, basi ulitoka na ziro au upo kisiasa zaidi. Maana kwanza huo umeme siyo wa miaka mitano ijayo ni zaidi ya hiyo, pili , vituo vya afya vipo, je kuna madaktari? Kuna vifaa na madawa? Huduma je, zipo? Hala acha kuhusinisha life expectancy na vituo vya afya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense! Hiyo "elimu bora" ya kipindi cha Nyerere ni ipi labda?Elimu wakati wa Nyerere ilikuwa bora kuliko vipindi vyote vilivyofuatia.
Nonsense! Hiyo "elimu bora" ya kipindi cha Nyerere ni ipi labda?
Elimu ya kutembea kilometa saba kufuata shule ndio unaita "elimu bora" hiyo?
Hiyo ya walimu wa UPE na memkwa?
Give me a break!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi.
Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno.
Hebu fikiria yafuatayo.
Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada.
Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi Tanzania na kama ujuavyo palipo na umeme sio bushi Tena.
Imagine vituo vya afya vilivyozagaa mpaka maporini maana yake ni kwamba life expectancy ya watanzania itapanda pia.
Viwanda vikubwa vitajengwa kwasababu uhakika wa umeme upo 24/7/365 hivyo itachochea ajira nyingi Sana.
Sasa ona.
Una usafiri wa uhakika wa
Lami
Tren
Ndege
Una uhakika wa matibabu
Hospital
Vituo vya afya
Zahanati
Una nishati ya kutosha
Umeme
Gesi
Shule
Usalama
Nk
Hivi ndio vitu vitakavyotokea wafanya watanzania waishi maisha mazuri muongo mmoja ujao hii ni hakika.
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
🙄Vituo vya afya na life expectancy...itaongezekaje? wanajamii embu nifafanulieni...