Mtazano mpambano kati ya Wilder vs Fury 3

Wilder ana mdomo mchafu sana,nimeona hata snoop anasheherekea ushindi wa fury
 
mayweather
Umeangalia ngumi ama unandika andika kwa kuwa unauwezo wa kuandika. Suala la uzito si jipya… fuatilia game za Tyson utajua. Huyo jamaa yako kawa 100% outplayed… kachapwaaa kama Abdallah…since 5th round alionekana nje ya mchezo kabisa…fitness level yake ilikuwa chini kala clear makonde… suala la gloves… pale sio ukumbi wa sabasaba mzee…na kumalizia…kocha wa Furry ni BLACK….Sugar
 
HAWA NDO WALE WANAOAMINI KUWA MTU MWEUSI ANA NGUVU KULIKO MZUNGU

NDO WALE WANAOAMINI KUWA UGALI MDO CHAKULA CHENYE NGUVU DUNIANI

WAKATI KILA SIKU MABONDIA WETU WANAKANDWA NA HAO HAO WAZUNGU WANAOWAITA WALAINI
 
Watakuja waulaya weusi kukutukana..huo ndo ukwel..mtu mweusi hatakubaliana na hilo..i think jambo kubwa n watu weus kuwa na organization zao za ngumu na kuzipromotiii...la sivyo, hakutakuwa na historia yyte ya black boxer..ila mike aliwawezaa..shenzi zaooo
 
Wazanaki acha inferiority complex we jamaaa.. Wazungu hawakuweza kumhujumu lenox lewis evander Tyson Mohammed Ally halafu Leo waje wamhujumu Wilder.. Embu angalia bondia wako kafeli wapi na nini arekebisha badala ya kuja na sababu uchwara... Ngumi ni mchezo wa wazi ambao kila kitu kipo hadharani.. Hukuona round ya 4 fury kalamba sakafu Mara mbili... Ni vile wilder kashindwa kutumia nafasi na kachapika tena sanaaaa... Bondia wako wilder aache ubishoo ngumi ni kazi kaz sasa yeye anasukasuka Mara atoboe sikio ngumi sio ubishoo... Ukiambiwa ukweli unasema black European... Na nyinyi watu kama wazanaki ndio mnaopotosha mabondia wa kiafrika kwa kuwaondolea hali ya kujiamini kuwajaza utopolo wenu huo...
 
Hivi unawajua Gypsies au maisha wanayoishi ? Nothing soft about them...,

Mabondia weusi walifanyiwa figisu sana kipindi cha nyuma kuna kipindi hawakuruhusiwa hata kupambana that was then..., now jamaa kapigwa tu, good and proper Unadhani Wamerekani no matter their color wangekubali mtu wa Europe achuke taji... ? Kwa information yako hata gypsies wanabaguliwa na hao unaoita weupe wenzao....
 
Wamarekani weupe wanamsapoti fury. Kama hujui. We kaa hapo uvunge kama ubaguzi haupo kwa sababu uko tanzania huku watu wote unaoishi nao unafanana nao huwezi ona kinachoendelea marekani unafikiri mambo ni sawa tu. Wazungu wako makini sana kwenye utaifa. Wanathamini wazungu wenzao. Sio watu wanaotoka nao nchi moja.
 
Baadhi ya watu wenye asili ya Afrika wana inferiority kubwa sana kwakweli.

Eti mtu rangi yake NYEUSI ukimwita
"hollow black man"
katikati ya Wazungu weupe anakasirika eti umembagua" [emoji848][emoji848][emoji848]
Hivi alitaka aitwe
"white man" ?

Black ni ngozi nzuri yenye thamani kubwa sawa na ngozi nyeupe tu.
Ishu ni kwamba wenzetu, Ngozi nyeupe, walitangulia katika maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Kuhusu ubaguzi kama tatizo la kijamii lipo katika kila jamii kwa baadhi ya wanajaamii wasio staarabika.
Tunaona mifano hai Africa Kusini jinsi weusi kwa weusi wanavyo baguana.

Watu waliostaarabika hawana tabia ya Ubaguzi bila kujali ni Wazungu au Waafrika.
La sivyo Obama asingeweza kuwa Raisi wa Marekani tena kwa vipindi viwili. Wamarekani wengi weupe walimpigia kura Obama bil kujali rangi yake.

Mimi binafsi ni Mwafrika Mweusi, na ni mshabiki wa Tayson Furry bondia mwenye nidhamu ya hali ya juu nje na ndani ya ring box, bondia mwenye maadili mema mtu wa dini na mnyenyekevu kama Linox Lewis.

Kuhamasisha watu weusi wawapende weusi katika fani flani bila sababu ya msingi ni dhana dhaifu na ni ya kibaguzi pia.

Kwa miaka mingi watu weusi wamemiliki sana ubingwa wa ngumi za uzito wa juu kuanzia enzi za Muhamedi Ally.

Kumbuka watu wote wameumbwa kwa Mapenzi ya Mungu.
Kuipenda rangi moja ya binadamu na kuichukia nyingine bila sababu ni uovu mbele za Mungu na Binadamu.

Kuwa mstaarabu japo kidogo tu.
 
It was all staged kukufanya ww uamiji unapendwa. Nyie ndio walewale mnaokataa kua ukoloni haukuepi na hauendelei. Hamna tofauti na vibaraka wanaopigana kufa na kupona kutetea ugali.

Utakua mtu wa ajabu kuwahi kutokea kutoamini ubaguzi upo na watu wanafaidika nao. Utakua wa ajabu sana
 
HAWA NDO WALE WANAOAMINI KUWA MTU MWEUSI ANA NGUVU KULIKO MZUNGU

NDO WALE WANAOAMINI KUWA UGALI MDO CHAKULA CHENYE NGUVU DUNIANI

WAKATI KILA SIKU MABONDIA WETU WANAKANDWA NA HAO HAO WAZUNGU WANAOWAITA WALAINI
Kuna mawili its either unalipwa kuponda waafrika wenzako au huna uelewa wa ubaguzi unavofanya kazi. Go deep bro.
 


Tutasema yote na kuleta conspiracy theories kibao ila Wilder was well beaten na Fury

Hata kama kuna figisu ila ulingoni Wilder alichezea kichapo na muda ulivyokuwa unaenda jamaa alizidi kuishiwa nguvu wakati Fury ndio kwanza anapata moto.

Wilder akomae na mazoezi na sio maneno.

Kwa how dare you unasema Fury anabebwa wakati hadi sasa hajawahi kupigwa.

Hail Gypsy King

The Undisputed Champion.
 
This is nonsense [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…