Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wilder ana mdomo mchafu sana,nimeona hata snoop anasheherekea ushindi wa furywazanaki Njoo kuna jambo nataka unieleze vizuri hapa
Kuelekea katika pambano hili la Deontay Wilder na Tyson Furry, kitu nilichokuwa nashangaa ni kwamba Most of superstars wa Amerika walikuwa wana wish Tyson Furry ashinde pambano hili dhidi ya mpinzani wake ambaye ni American mwenzao, Drake, Kanye west, Mike Tyson, Undertaker.
Kwanini hawatoi support kwa American mwenzao?
GREAT VISIONAIRE
screpa