Mtego Kwa Mchungaji Upo hapa

Mtego Kwa Mchungaji Upo hapa

Yesu angekuwepo nyakati hizi angepingwa na hawa wachungaji feki vibaya mno. Jitu kama Bashite linalojidai kumpenda Yesu angeshamweka ndani mara nyingi sana... Polisi nao wangekuwa wanawatawanya kwa mabomu ya machozi wafuasi wake waliokuwa wakimfuata kila alipokuwa akienda... sio Yuda tu hata wafuasi wake wengine wasingepindua kwa hongo ambazo wangeahidiwa. Watu wasiojulikana wangempoteza haraka sana... Yesu angekuja kwa nyakati hizi asingepatikana mwanamke bikra wa kumzaa.
Alijua ya Kaisari kumuachia Kaisari.., alivyoanza kuingilia politics mfano kufukuza watu wanafanya biashara zao kanisani n.k. walimsurubu...
 
Issue ni kwamba ukitubu na kuomba msamaha yeye anasamehe na hakumbuki.
Yesu angekuwepo nyakati hizi angepingwa na hawa wachungaji feki vibaya mno. Jitu kama Bashite linalojidai kumpenda Yesu angeshamweka ndani mara nyingi sana... Polisi nao wangekuwa wanawatawanya kwa mabomu ya machozi wafuasi wake waliokuwa wakimfuata kila alipokuwa akienda... sio Yuda tu hata wafuasi wake wengine wasingepindua kwa hongo ambazo wangeahidiwa. Watu wasiojulikana wangempoteza haraka sana... Yesu angekuja kwa nyakati hizi asingepatikana mwanamke bikra wa kumzaa.
 
Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA"

Moderator

Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez.

Ilikuwa ni kipindi ambacho 50 na G.unit Yake walikuwa wana feud na The Lox ( Styles P, Jadakiss and co)

Jada alimwambia 50 " Umebadilika Sana bro . Hukumbuki ulipotoka na sidhani kama bado unakumbuka ulipo toka"

Majibu ya 50 Sasa " Whoever says money has not changed them, have just never got enough of it"

" Na yoyote asemae kwamba pesa haija mbadilisha Basi jua hajapata hela za kutosha"

Back to Magembe.

Wakati yupo T.A.G alikuwa anaonekana full Gospel Kwa sababu alikuwa ameajiriwa tu.

Hakuwa kwenye mrija wa pesa za T.A.G.

Ndio maana alikuwa anaweza kuongea vitu ambavyo mtu kwenye kanisa lake hawezi kufanya. Kwa mfano Kuna clip anafoka ana waambia waumini " Mimi sijakuita kanisani kwangu kama huwezi tooka! Sijakulazimisha. Usiniletee ujinga ujinga"

Nikataka kujua sababu ya Mchungaji kusema hivyo, hee! kumbe eti alikuwa anawaambia waumini ambao hawapendi kufanya maombi.

I was like what? Yani Kweli wewe Mchungaji unaweza kuthubutu kuwaambia waumini watoke kanisani kwako Kwa sababu eti ni wavivu wa kufanya maombi?

Aliekwambia TAG wameanzisha kanisa ili watu wafanye maombi nani?

Aliekwambia kanisa linaanzishwaga Kwa ajili ya kuwafanya watu wawe wanafanya maombi nani?

" watu wanataka GOTO , Bongo choka mbaya Vibaya Vibaya mithili ya baba ubaya"

Watu wana anzisha makanisa Kwa ajili ya kupiga hela. Wewe unafukuza hela are u serious?

Yani muumini ana toa sadaka ,anatoa fungu la Kumi , anatoa michango ya kanisa halafu utishie kumfukuza kanisani Kwa sababu eti ni mvivu wa kusali.

Hata Ole Gunnar ata Guna..

Lingekuwa kanisa lake mwenyewe asinge jaribu kuongea utoto kama huo.

Yani unafukuza hela ? Are you serious?

Now sasa ameanzisha kanisa lake mwenyewe.

Leadership structure haieleweki.

Mwenyekiti yeye, katibu yeye, mweka hazina yeye.

Kwenye clips za mahubiri Yake zinapita namba za simu za kutoa sadaka na michango ya ujenzi wa kanisa.

Mpesa: Somebody Magembe.

Tigopesa somebody Magembe.

Everything is revolving around Magembe.

Hapo Sasa ndio mechi itakapochezwa.

Akisha jua utamu wa pesa Sasa ndipo mtakapojua kwanini north na South huombana msamaha kila siku, mara NORTH POLE mara SOUTH POLE.

Na dalili zimeshaanza kuonekana. Kwenye Ibada Yake ya kwanza ali brag kwamba WaPo waumini mia Saba.

Ibada ya pili anasema WaPo elfu moja

Kwenye Ibada ya pili akasema " Ikifika tarehe 31 January tutakuwa elfu mbili Kwa jina la Yesu"

He is just talking about money .

Why talking about numbers?

Tuone kama ataanza Tena kuwaambia waumini wake wasio Sali tokeni kanisani kwangu...

Kule TAG alikuwa ana uthubutu wa kusema vile Kwa sababu alikuwa mfanyakazi malipo anachukua mwisho wa mwezi.

Now hawezi fanya hivyo Kwa sababu kanisa ni lake.

So hata ule ukali wake atapunguza. Na dalili zimeshaanza kuonekana.

Kwenye Ibada Yake ya pili anawaambia waumini baada ya Ibada wageni tutakutana pembeni tufahamiane tujuliane Hali😁😁😁

Kumbe anajua customer care.

Believe me. Hamtanuona yule Magembe mkali mkali Tena. Atakuwa more lenient.

Halafu Magembe anatakiwq kujua kwamba TAG ni watu wa TISS so kumuhujumu ni jambo rahisi Sana na wanayo kila sababu ya kumuhujumu Kwa sababu haiwezekani upate umaarufu kupitia taasisi ya watu halafu uondoke kwenda kuanzisha taasisi yako Kwa nguvu ya umaarufu ambao umeupata kupitia taasisi ya watu.

Wanaweza kutumia honey pot.

Wanaweza kwenda kama wafadhili

Wanaweza kufanya infiltration etc.

MWISHO : Majambazi walivamia mkutano wa wakristu na waislamu walio kuwa wakifanya debate Dini ipi ni nzuri.

Majambazi: Mbinguni ni pazuri au Sio pazuri?

Waumini : ni pazuri.

Jambaz: Wangapi wanapenda siku Yesu akirudi na wao waende Mbinguni? Wanyooshe mikono juu. Wakanyoosha wote.

Jambaz akawaambia Haya shusheni mikono. Kisha akauliza tena. Ni Wangapi wanataka kwenda Mbinguni Sasa hivi?

Watu wote kimya.

Basi unaambiwa siku hiyo wale mashekhe na wachungaji walitiwa bakora ile kinomanoma.

" Mnawadanganya danganya watu na kuwatisha ujinga ujinga pumbavu zenu ili waende Mbinguni wakati nyie wenyewe hamtaki kwenda mbinguni" Alisikika jambazi mmoja akisema.

Moral of the story ya Majambazi: Hakuna mwanadamu anae mpenda Mungu kihivyo. Mungu na pesa binadamu huchagua pesa. So hata huyo Magembe na yeye ni binadamu kama nyie.
Vipi na mafundisho yake yanaeleweka?
 
Likud anamshambulia mzee wa watu kama afanyavyo kwa shule za EMS
Am speaking the fact. Nataka kuwafungua macho watanzania Kwa sababu most of them are poor judges of character
 
Ilitakiwa ujitambulishe tu kuwa wewe ni TAG.... Mwacheni Maghembe afanye kazi,... Akifaulu sawa, akishindwa sawa....
After all hata hiyo TAG haikumea tu kama Uyoga.... Na yenyewe Kuna sehemu ilianzia.... So be patient.....
 
Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA"

Moderator

Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez.

Ilikuwa ni kipindi ambacho 50 na G.unit Yake walikuwa wana feud na The Lox ( Styles P, Jadakiss and co)

Jada alimwambia 50 " Umebadilika Sana bro . Hukumbuki ulipotoka na sidhani kama bado unakumbuka ulipo toka"

Majibu ya 50 Sasa " Whoever says money has not changed them, have just never got enough of it"

" Na yoyote asemae kwamba pesa haija mbadilisha Basi jua hajapata hela za kutosha"

Back to Magembe.

Wakati yupo T.A.G alikuwa anaonekana full Gospel Kwa sababu alikuwa ameajiriwa tu.

Hakuwa kwenye mrija wa pesa za T.A.G.

Ndio maana alikuwa anaweza kuongea vitu ambavyo mtu kwenye kanisa lake hawezi kufanya. Kwa mfano Kuna clip anafoka ana waambia waumini " Mimi sijakuita kanisani kwangu kama huwezi tooka! Sijakulazimisha. Usiniletee ujinga ujinga"

Nikataka kujua sababu ya Mchungaji kusema hivyo, hee! kumbe eti alikuwa anawaambia waumini ambao hawapendi kufanya maombi.

I was like what? Yani Kweli wewe Mchungaji unaweza kuthubutu kuwaambia waumini watoke kanisani kwako Kwa sababu eti ni wavivu wa kufanya maombi?

Aliekwambia TAG wameanzisha kanisa ili watu wafanye maombi nani?

Aliekwambia kanisa linaanzishwaga Kwa ajili ya kuwafanya watu wawe wanafanya maombi nani?

" watu wanataka GOTO , Bongo choka mbaya Vibaya Vibaya mithili ya baba ubaya"

Watu wana anzisha makanisa Kwa ajili ya kupiga hela. Wewe unafukuza hela are u serious?

Yani muumini ana toa sadaka ,anatoa fungu la Kumi , anatoa michango ya kanisa halafu utishie kumfukuza kanisani Kwa sababu eti ni mvivu wa kusali.

Hata Ole Gunnar ata Guna..

Lingekuwa kanisa lake mwenyewe asinge jaribu kuongea utoto kama huo.

Yani unafukuza hela ? Are you serious?

Now sasa ameanzisha kanisa lake mwenyewe.

Leadership structure haieleweki.

Mwenyekiti yeye, katibu yeye, mweka hazina yeye.

Kwenye clips za mahubiri Yake zinapita namba za simu za kutoa sadaka na michango ya ujenzi wa kanisa.

Mpesa: Somebody Magembe.

Tigopesa somebody Magembe.

Everything is revolving around Magembe.

Hapo Sasa ndio mechi itakapochezwa.

Akisha jua utamu wa pesa Sasa ndipo mtakapojua kwanini north na South huombana msamaha kila siku, mara NORTH POLE mara SOUTH POLE.

Na dalili zimeshaanza kuonekana. Kwenye Ibada Yake ya kwanza ali brag kwamba WaPo waumini mia Saba.

Ibada ya pili anasema WaPo elfu moja

Kwenye Ibada ya pili akasema " Ikifika tarehe 31 January tutakuwa elfu mbili Kwa jina la Yesu"

He is just talking about money .

Why talking about numbers?

Tuone kama ataanza Tena kuwaambia waumini wake wasio Sali tokeni kanisani kwangu...

Kule TAG alikuwa ana uthubutu wa kusema vile Kwa sababu alikuwa mfanyakazi malipo anachukua mwisho wa mwezi.

Now hawezi fanya hivyo Kwa sababu kanisa ni lake.

So hata ule ukali wake atapunguza. Na dalili zimeshaanza kuonekana.

Kwenye Ibada Yake ya pili anawaambia waumini baada ya Ibada wageni tutakutana pembeni tufahamiane tujuliane Hali😁😁😁

Kumbe anajua customer care.

Believe me. Hamtanuona yule Magembe mkali mkali Tena. Atakuwa more lenient.

Halafu Magembe anatakiwq kujua kwamba TAG ni watu wa TISS so kumuhujumu ni jambo rahisi Sana na wanayo kila sababu ya kumuhujumu Kwa sababu haiwezekani upate umaarufu kupitia taasisi ya watu halafu uondoke kwenda kuanzisha taasisi yako Kwa nguvu ya umaarufu ambao umeupata kupitia taasisi ya watu.

Wanaweza kutumia honey pot.

Wanaweza kwenda kama wafadhili

Wanaweza kufanya infiltration etc.

MWISHO : Majambazi walivamia mkutano wa wakristu na waislamu walio kuwa wakifanya debate Dini ipi ni nzuri.

Majambazi: Mbinguni ni pazuri au Sio pazuri?

Waumini : ni pazuri.

Jambaz: Wangapi wanapenda siku Yesu akirudi na wao waende Mbinguni? Wanyooshe mikono juu. Wakanyoosha wote.

Jambaz akawaambia Haya shusheni mikono. Kisha akauliza tena. Ni Wangapi wanataka kwenda Mbinguni Sasa hivi?

Watu wote kimya.

Basi unaambiwa siku hiyo wale mashekhe na wachungaji walitiwa bakora ile kinomanoma.

" Mnawadanganya danganya watu na kuwatisha ujinga ujinga pumbavu zenu ili waende Mbinguni wakati nyie wenyewe hamtaki kwenda mbinguni" Alisikika jambazi mmoja akisema.

Moral of the story ya Majambazi: Hakuna mwanadamu anae mpenda Mungu kihivyo. Mungu na pesa binadamu huchagua pesa. So hata huyo Magembe na yeye ni binadamu kama nyie.
Kiukweli Mifumo ya mapato na matumizi ni mibovu makanisa mengi, wachungaji wengi wanaumia sana. Swala la muda tu tutajua mzee anawazaje ni mapema sana kumjudge
 
Wote watajenga mwili wa Kristo
Kutengana na kuanzisha huduma haijaanzia hapa kwa Magembe imeanza huko kwa Paul na Petro
 
Back
Top Bottom