Mtego Kwa Mchungaji Upo hapa

Alijua ya Kaisari kumuachia Kaisari.., alivyoanza kuingilia politics mfano kufukuza watu wanafanya biashara zao kanisani n.k. walimsurubu...
 
Issue ni kwamba ukitubu na kuomba msamaha yeye anasamehe na hakumbuki.
 
Vipi na mafundisho yake yanaeleweka?
 
Likud anamshambulia mzee wa watu kama afanyavyo kwa shule za EMS
Am speaking the fact. Nataka kuwafungua macho watanzania Kwa sababu most of them are poor judges of character
 
Ilitakiwa ujitambulishe tu kuwa wewe ni TAG.... Mwacheni Maghembe afanye kazi,... Akifaulu sawa, akishindwa sawa....
After all hata hiyo TAG haikumea tu kama Uyoga.... Na yenyewe Kuna sehemu ilianzia.... So be patient.....
 
Kiukweli Mifumo ya mapato na matumizi ni mibovu makanisa mengi, wachungaji wengi wanaumia sana. Swala la muda tu tutajua mzee anawazaje ni mapema sana kumjudge
 
Wote watajenga mwili wa Kristo
Kutengana na kuanzisha huduma haijaanzia hapa kwa Magembe imeanza huko kwa Paul na Petro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ