JMushi1,
Tafadhali mkuu hizi hadithi zinachosha.. Mtu huwezi kupingana na mtu anayetembea na mkeo kwa siri kwani mhalifu ndiye hufanya siri...
Sidhani kama anaweza kuvumilia haya ikiwa Bi. Mkubwa analiwa...Si Kikwete tunayemfahamu..
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .
Kuna rumours kwamba JK anapingana na ufisadi kwa siri!
Kuna baadhi ya member credible hapa JF ambao wanaamini hivyo!
Sitaki kuwataja kwa majina!
Ila ni wazi kuwa JK is going to do something very soon in regard to the fight against UFISADI
Wana JF is the president going to satisfie us THE PEOPLE?
If not then is it Another MTEGO?
We are tired of waiting and we don't need another cabinet change but we need a NEW ELECTION NOW and not 2010. JK is a big failure those frequently cabinet changes will not be able to achieve anything meaningful to Tanzanians.
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .
Kwani hujasoma thread ya Mwafrika wa kike aliyesema tumpe jk one month free of bashing kwasababu inasemekana anataka kubadili baraza la mawaziri?
Na kama thats the case..Then hii itakuwa mara ya ngapi kufanya hivyo?
Dont we have the right to ask kama akifanya hivyo itatu satisfy us THE PEOPLE?
Si alimwacha chenge kwenye upanguzi wa kwanza?
Ni lipi hilo atakalofanya lenye kutu connvince us THE PEOPLE?
ATAKUBALI BALALI AKAMATWE?
CHENGE JE?
The list goes on and on...
Vipi tena mkuu?
SI UNAKUMBUKA WEWE NDIO ULIYEKUWA KINARA WA KUTAKA ILE MADA YA "jk akataa balali asiletwe kuondolewa hapa kwenye Jukwaa la kisiasa?
Sasa si ni juzi wamesema hawamhitaji Balali?
Vipi Mkuu?
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .
Ila mimi nimenza kumuonea huruma sana Jk. Unajua mvumilivu sharti ale mbivu! I wish hao mashujaa wa UFISADI kina Lowasaa, Chengge, Kaaramagi, Balalii, na wengine wangekuwa wanamgawia vijisenti ukizingatia yeye hawabugudhi wala nini....anawavumilia kiasi cha kutosha, na lawama zote anapata yeye!
Just a dream......
Tunasubiri chochote atakachofanya Mkuu wa Kaya sababu yeye pekee ndiye ambaye at least anajali wananchi. I didn't say he is the best but he is the best we have.
Ukicompare utawala wa BWM na JK ni kama mchana na usiku.
Mungu Ibariki Tanzania.