Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mimi nimenza kumuonea huruma sana Jk. Unajua mvumilivu sharti ale mbivu! I wish hao mashujaa wa UFISADI kina Lowasaa, Chengge, Kaaramagi, Balalii, na wengine wangekuwa wanamgawia vijisenti ukizingatia yeye hawabugudhi wala nini....anawavumilia kiasi cha kutosha, na lawama zote anapata yeye!
Just a dream......
Na ndio maana nikauliza...Je kupangua baraza peke yake inatosha ama Chenge na Balali wakamatwe?
'JK is going to do something very soon'
Hizo mbwe mbwe tu. Wapi Balali? Lowassa na team yake bado wanapeta, Che Nkapa anazid kutesa, Chenge na vjisenti Shujaa wa bariadi. MANENO MENGI NA POROJO TU!! wameweka misheria kibao kama ukuta wa kujilinda!!
Kama Zitto yuko huku na wala hamzungumzii Balali..Bali uzuri wa Kikwete asiyetaka Balali aletwe..Then si mtego huu jamani?
Kwani hatujui kuwa Tunampenda Zitto kama mwananchi mzalendo?
Watu tunataka output nzuri thats all!Hatutaki ahadi,tume ,au ana nia gani na mengineo nop tunataka leo iwe afadhali kuliko jana ,sio kila kukicha bora ya jana.Kupangua baraza asipangua atachua yeye kwanza inaonyesha anaangalia usoni kuchangua mtu kama alivyochaguliwa yeye kuwa rais haangalii criteria za mtu kuwa kiongozi ndio maana inakuwa hivyo.
Kasi ya ulimwengu wa sasa watu wanaangalia output sio maneno au nia,kama unashindwa kupeleka gurudumu mbele hufai kuongoza.Sisi wananchi tunatakiwa ku play part yetu ila hatua iliyopo inatakiwa kiongozi aanze kwanza ndio game yetu inaendelea.
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .
We are tired of waiting and we don't need another cabinet change but we need a NEW ELECTION NOW and not 2010. JK is a big failure those frequently cabinet changes will not be able to achieve anything meaningful to Tanzanians.