ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka BBC, Yanga tukawachek tukaaema mtanasa tu
Sisi taratibu tukaanzia Away mechi mbili za mwanzo tukachukua alama zote 6, ila mbumbumbu walijaa jukwaani kukashifu
Mbumbumbu walitamba kwamba wamefanya usajili mkubwa, sisi tukawapa angalizo kwamba pale hamna kitu
Leo mbumbumbu wametoa sare dhidi ya Coast union wakiwa nyumbani
Simba washacheza mechi nyingi za nyumbani na Leo wameokota sare ina maana round ya pili wataenda mikoani huko tena kipindi cha masika😄 viwanja vikiwa majaruba
Tarehe 19 si mbali tuwape Kono la nyani mtulie.
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Yanga bingwa😄