Wakoloni weusi CCM wanafikiri wana nguvu sana lakini siku ikifika ndio watajua sio polisi, system wala intelligence wana uwezo wa kumweka mtu yeyote madarakani bali ni wananchi tuu,na watajua hawana nguvu yeyote, hiyo siku inakuja na mwisho wa vyama kama hivi ni kufungiwa maisha na viongozi wake kufungwa au kupigwa mawe na kuburuzwa mitaani, Historia hujirudia tumeona kila kona ya dunia