Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Mhe Freeman Mbowe bila kujali yeye alianza uongozi ndani ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 30 bado ameendelea kujiapiza lazima na yeye afikie miaka ya Baba Mkwe wake ambayo ni miaka 68 ya kung'atuka kwake madarakani.
Mhe Freeman Mbowe tofauti na watangulize wake walioanza siasa wakiwa na umri wa miaka 63 kwa Mzee Mtei na alipofikisha miaka 68 aling'atuka huku Mzee Bob Makani alianza uongozi akiwa na miaka 62 alipofikisha miaka 67 akang'atuka.
Kwa Mzee Mbowe hali ni tofauti sana kwani yeye naye anataka afikie umri wa kustaafu wa watangulizi wake akiwemo Baba Mkwe wake bila kujali wazee hawa wao walikaa madarakani kwa kipindi kimoja tu tofauti ya Vipindi vitano alivyokaa yeye Freeman Mbowe.
Nafikiri Lissu ni Bora X 1,000 kuliko huyu anayeng'ang'ana na umri aliostaafu Baba Mkwe wake wa miaka 68 bila kuwa na sababu za kufanya hivyo , otherwise CHADEMA kiwe ni chama Cha kifalme kama kule Saud Arabia.
Mzee Mbowe hii hoja ya kutaka tukusubiri mpaka miaka 68 nayo tunaikataa Kwakuwa umri wa Baba Mkwe wako wa kustaafu wa miaka 68 sio Umri wa kisheria wa kustaafu Viongozi wa CHADEMA uliowekwa kisheri.