The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Wanataka TAL aachiwe kama Viti maalumu, Ujinga huo.Hivi mnisaidie wajuzi wa mambo...kwa mujibu WA katiba ya chadema mbowe amekiuka Sheria za uchaguzi? I mean kugomvea kwake kunavunja katiba ya chama hicho?
Je amekataza watu wengine wasigombee nafasi hiyo?
Kama wanachama wengine wamegombea na mshindi anaamuliwa na kura shida iko wapi?
wanaolazimisha mbowe ajiuziru hawaamini kukubalika kwa Tundu na kwamba Hana shawishi w kushinda na hivyo wanategemea apite bila kupingwa?
Kwa maoni yangu, na Sugu nae angegombea ili pachangamke vzuri