Mtei aliongoza CHADEMA akiwa na miaka 63 hadi 68. Bob Makani 62 hadi 67. Mbowe ameongoza tangu akiwa na 30+ na bado anataka tena!

Mzee baba ni muda wa kuachia kijiti, ahsante kwa kutufikisha hapa kama Watanzania.
Keshatia pamba masikioni huyo, anavyopenda Uenyekiti wa CHADEMA, hadi "akawaita watu" waende kwake ili "kumuomba" agombania tena Uenyekiti 😂😂 Drama ya kufungia Mwaka hiyo.
 
Mzee Mbowe ni kama kachanganyikiwa hivi, Anasema live kama Mzee Mtei alifika miaka 68 na Mimi lazima nifike, ,😆😆

Imeandikwa wapi kwenye katiba kwamba Mwenyekiti lazima afikishe miaka 68?
 
Ana haki kikatiba kugombea, wa kulaumiwa ni chama kutokuwa na ukomo wa kugombea mara nyingi.

Hata hivyo, Mbowe angepumzika tu.
 
Na hata hivyo Lissu hafai hata kidogo kuwa mwenyekiti wa CDM, angebaki kuwa mwanaharakati tu. Hafai hata kidogo...
 
SAUTI YA WATANZANIA imejaa WAZALENDO mwanzo mwisho Mbowe ananyukwa vibaya sana huko CH
 
Hii Chairmanship race imemvua sana Nguo Mzee Mbowe, The best move was to step aside Ingemlindia sana Heshima yake Kuliko Sasaivi ku contest huku akiwa na wachache sana wana Muunga Mkono tena Ile inner circle yake tu
Mkuu, naona huu mpambano wa uchaguzi wa Mwenyekiti ndani ya CHADEMA, ni hadaa tu ya kuwa changanya watesi wao, hatimaye tutawaona tutawaona Mbowe na Lisu wakikumbatiana kwa furaha sana na Mbowe kutoa tamko la KUTOGOMBEA na kumwachia Lisu. Ikitokea hivyo, kuna watu wengi watawashwa na pilipili wasio kula. Tusubiri tuone.
 
Uongo aliopiga juzi ulinishangaza sana.Alitia chumvi ya rangi ya kijani sana
 
Mzee Mbowe apimwe akili kwa gharama zangu. Namuona kama anaelekea kuvua nguo hadharani. M7 wa bongo ni mjinga Mbowe
 
Keshatia pamba masikioni huyo, anavyopenda Uenyekiti wa CHADEMA, hadi "akawaita watu" waende kwake ili "kumuomba" agombania tena Uenyekiti 😂😂 Drama ya kufungia Mwaka hiyo.
Usanii wa kitoto.sana
 
Mbowe anaangalia umri ambao Mtei na Makani walikomea kuiongoza CHADEMA, amekwepa kuongelea wameongoza kwa miaka mingapi.
 
Hivi mnisaidie wajuzi wa mambo...kwa mujibu WA katiba ya chadema mbowe amekiuka Sheria za uchaguzi? I mean kugomvea kwake kunavunja katiba ya chama hicho?
Je amekataza watu wengine wasigombee nafasi hiyo?
Kama wanachama wengine wamegombea na mshindi anaamuliwa na kura shida iko wapi?
wanaolazimisha mbowe ajiuziru hawaamini kukubalika kwa Tundu na kwamba Hana shawishi w kushinda na hivyo wanategemea apite bila kupingwa?
 
Shida yeye Sasa sio mpinzani tena
 
Mbowe ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa CHADEMA na aongezewe muda.
 
Kaeni kwa kutulia.

Kama hamumtaki Mbowe, Democrasia inasema mkamuondoe kwenye sanduku la kura.

Kazi kweli kweli
 
Anzisha chama chako tuone utaongoza miaka mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…