Mtei aliongoza CHADEMA akiwa na miaka 63 hadi 68. Bob Makani 62 hadi 67. Mbowe ameongoza tangu akiwa na 30+ na bado anataka tena!

Wanataka TAL aachiwe kama Viti maalumu, Ujinga huo.

Kwa maoni yangu, na Sugu nae angegombea ili pachangamke vzuri
 
Akili ndogo kabisa mithili ya bata :Mzee Mbowe unatia aibu
Unakuta mtu anasema hivyo huku anavuka zebra kwa miguu na hofu kibao akiangalia huku na kule kusubiri waongezeke avuke kuelekea buguruni kwa mnyamani.
 
Yaani kama kajizima data vile hasikii la mwadhama wala mnadi swala.
Mungu ameamua kutufunulia yaliyo sirini tuyajue na bila zao ?!
 
Mbowe anaangalia umri ambao Mtei na Makani walikomea kuiongoza CHADEMA, amekwepa kuongelea wameongoza kwa miaka mingapi.

..kinachoendelea Chadema ni darasa zuri sana la madhara ya kutokuwa na term limits.

..Ni vigumu sana kumuelewesha mwanasiasa kwamba muda wake wa kung'atuka umefika, kwamba mchango wake kwa jamii hautakuwa wa viwango vya kuridhisha.
 
Halafu mzee kapanic sana, hakuzoea upinzani wa aina hii kwenye chama. Alizoea ndiyo mzee, kapata kiboko yake. Anaongea kwa hasira sana. Mzee baba ni muda wa kuachia kijiti, ahsante kwa kutufikisha hapa kama Watanzania.
Mambo ni magumu
 
Mbowe wamemkalia kooniz sijui kama atatoka safari hii!
 
Hakuna mtu amekatazwa kugombea uongozi na umri sio issue, acha kura zipigwe atakayeshinda ndio kiongozi halali, mgogoro fake huu
 
Mbowe Lipumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…