Mteja ana haki ya faragha na usiri

Mteja ana haki ya faragha na usiri

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji

Faragha ni pamoja na kutosambaza taarifa za mteja wako bila makubaliano naye. Tangaza biashara yako bila kuanza kuwa-tag wateja wako wakuu kwa kuwa sio wote wanaopenda kujulikana

Aidha mteja ana haki ya kulalamika asiporidhika na huduma aliyopatiwa.
 
Back
Top Bottom