Mteja anaweza kuishtaki benki yake na kuipeleka mahakamani?

jerryn159

New Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Naomba ushauri wa kisheria ili niweze kujua kama mteja anao uwezo kisheria wa kuishtaki benki, ili apate haki zake zinazominywa kwa maksudi kabisa
 
Benki ni kampuni, kisheria kampuni imepewa hadhi ya utu hivyo inaweza kushtaki na kushtakiwa kwa hadhi yake kama benki.
 
Naomba ushauri wa kisheria ili niweze kujua kama mteja anao uwezo kisheria wa kuishtaki benki, ili apate haki zake zinazominywa kwa maksudi kabisa
Kama unaweza kuishtaki serikali ndio sembuse benki?

Kabla ya kuwashtaki ni lazima ujuwe unawashtaki kwa lipi, isijekuwa uli-agree terms and conditions zao halafu leo washangaa.
 
Usiombe uwashtaki alaf wakashinda, hiyo bill of cost itakayokuja unaweza omba jiwe liwe mkate
Kama unaweza kuishtaki serikali ndio sembuse benki?

Kabla ya kuwashtaki ni lazima ujuwe unawashtaki kwa lipi, isijekuwa uli-agree terms and conditions zao halafu leo washangaa.
Usiombe uwashtaki alaf wakashinda, hiyo bill of cost itakayokuja unaweza omba jiwe liwe mkateUsiombe uwashtaki alaf wakashinda, hiyo bill of cost itakayokuja unaweza omba jiwe liwe mkate
 
Asante. Nitajiridhisha kwanza kwa kupata vilelezo vyote muhimu ili kigezo changu kiwe kamilifu, kama alivyosema Big-D. nisije kuja kupewa dawa yangu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…